CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,529
Duniani kuna mengi wakuu.Nianze kwa kuwapa salamu zenu.Kuna msemo wetu unasema kuwa "UWEZO WA MTU HUPIMWA NA NAMNA ANAVYO TATUA MATATIZO" Lakini kwa bahati nzuri au mbaya jambo hili limekuwa gumu sana kufanyika kwa viongozi hususani wabunge wetu ndani ya chama na zaidi mh.Mgumba ambaye ndio mbunge wa jimbo letu.
Mh.Mgumba jimbo lako lina matatizo chungu mzima lakini hauna habari ya kuyatatua kwanini lakini?. Kuna shule ya msingi MKAMBARANI haina hata ofisi ya walimu na madarasa ya kutosha je uunajua hilo?.
Mh.Mgunga nakupa hongera za kuteuliwa kuwa naibu waziri wa kilimo lakini unajua kuwa katika jimbo lako kuna vilio vya ukosefu wa pembejeo?. Umekuwa kiziwi,Jimboni kwetu umepasusa lakini hamna tatizo. Maana hata siku moja miti haitoweza kuongea labda kwa nguvu za imani ya ki-mungu au u-shetani.
Mh.Mgumba Pokea salamu hizi ukijua kuwa chama cha mapinduzi kinahitaji imani mpya kwa wananchi na ujue kuwa fikra mpya zinashika hatamu mara dufu nakuomba tu usije kukivua nguo chama chetu kwani katika jimbo letu hatujazoea ushindi wa mabavu.
Mh.Kumbuka tu kuwa hongera zangu kwako za kinafiki na hazina tija yeyote ya kukupongeza hivyo tafakari na uchukue hatua mara moja.