Recent content by abdulh iddy

  1. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania medical laboratory attendant anatafuta kazi

    Habari wana jf.kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mtaalamu wa afya upande wa maabara.naombeni ushirikiano wenu kwa mwenye nafasi,connection Za Kazi. tusaidiane. Ahsanteni
  2. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania W3 bei pouwa 115000

    simu bado mpya imetumika mwezi mmoja ila inazingua kwenye kupandisha minara inabagua sehem sehem nayokaa mim inapanda flexh ndo huwa naitumia kwa kila kitu tofauti na sehem hyo haipandi wala hasomi lain yana emergence call or no service.haina tatizo lingne ila spika ilibadilishwa ila ipo pouwa...
  3. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vyuo vya kusomea kufundisha Nursery School

    Husika na kichwa cha habari. Kwa anavijua vyuo vya kusomea kufundisha nursery shool. Tafadhali msaada
  4. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania TECNO W4

    husika na kichwa ya habar apo juu.Naomba kuuliza dukan w4 tecno ni sh ngap??? ahsante.Nawasilisha
  5. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ya afya yenye soko hapa Tanzania tofauti na MD?

    labaratory attendant inahusiana na nn na kazi zake ni zipi
  6. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH

    vp kuhusu labaratory attendant imekaaje hyo kozi.
  7. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH

    inahusiana na afya ya jamii
  8. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Tunaoenda kusoma Kam collage of health science Tukutane Hapa.

    Husika na mada tajwa hapo juu.Kwa wale waliochaguliwa au wanoenda kusoma kam collage tukutane hapa mambo muhimu yanayohusiana na chuo hicho.NAWASILISHA
  9. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    ufafanuz wa hii koz labaratory attendant vp ni nzur au.
  10. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy na Laboratory Technology, ipi ni fani yenye maslahi makubwa?

    Nataka kusomea labaratory attendant vp kwenye ajir zake hazisumbui kupatikana
  11. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    msaada kuniangalizia namba hzi Username s1746/0059/2014 pass 9e2v3scp
  12. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuapply kozi gani za Afya?

    kasomee labaratory attendant
  13. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu kozi ya Laboratory Attendant

    Husika na kichwa cha habari tajwa. Nataka kusomea hii kozi, vipi ni nzuri na inalipa kwenye soko la ajira? Na kwenye sekta ya afya ni nzuri? Ushauri tafadhali.
  14. abdulh iddy

    JamiiForums Tanzania Vodafone smartkika for sale

    Vp ina whatsapp,twitter,instagram,tango,viber,fb,yahoo na n.K.Kama inavyo chukua 250 mkuu.
Back
Top Bottom