W3 bei pouwa 115000

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
simu bado mpya imetumika mwezi mmoja ila inazingua kwenye kupandisha minara inabagua sehem sehem nayokaa mim inapanda flexh ndo huwa naitumia kwa kila kitu tofauti na sehem hyo haipandi wala hasomi lain yana emergence call or no service.haina tatizo lingne ila spika ilibadilishwa ila ipo pouwa haisumbui.kwa Anaehitaji nichek kwa 0674439864. au ukitaka picha utatumiwa.
 
Back
Top Bottom