Kozi gani ya afya yenye soko hapa Tanzania tofauti na MD?

By the way! Soma Nursing Mana Hata Certificate Hakosi Soko, Je wewe Degree, Utakuwa Zaidi ya Gold.
 
Degree of dental surgery or DDS

Na Pharmacy pia zote ziko njema
 
Wanaitumiaje lesen fafanua kdogo....! Au una maana ya kupiga era

Maduka makubwa ya dawa (Pharmacies) zote unazoziona zinasimamiwa na wafamasia ambao wameweka vyeti vyao pale kwa ujira wa kuanzia milioni moja na kuendelea nje ya mshahara wa kawaida
 
Mbali na Medical Doctor(MD) kozi nyingine nzuri za Afya(Zenye uhakika wa moja kwa moja wa Ajira na malipo mazuri ni hizi). Kwa mtitiriko huu
1/Pharmacy.
2/Dental Surgery.
3/Nursing.
4/Laboratory science.
 
Mbali na Medical Doctor(MD) kozi nyingine nzuri za Afya(Zenye uhakika wa moja kwa moja wa Ajira na malipo mazuri ni hizi). Kwa mtitiriko huu
1/Pharmacy.
2/Dental Surgery.
3/Nursing.
4/Laboratory science.

Dental surgeon wako scale moja na MD,kwa hiyo kama ni mtiririko basi ianze DDS ndio ije Pharmacy
 
Back
Top Bottom