Recent content by Abdulaziz Sadallah

  1. Abdulaziz Sadallah

    PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Ally atapelekwa ideology and publicity hii inahitaji kichwa kubwa kidogo kung'amua.
  2. Abdulaziz Sadallah

    Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

    Shida sio mtu, muhimu ni taasisi imara yenye muongozo ulionyoka lakini tukibaki kwenye haiba pekee nadhani shida zitabaki pale pale. I submit!
  3. Abdulaziz Sadallah

    Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    Bado muungano wetu ni mchanga, just be patient comrade. Raisi wa Zanzibar ataweza toka Tanzania mainland may be in next century, pale to tukiwa matured enough wenye high political tolerance.
  4. Abdulaziz Sadallah

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Morogoro sio karafuu tu sasa wanalima hadi vanilla, kuna haja ya kuondoa monopoly ya Zanzibar kuhusu international market. Historically ibaki tu kwamba Zanzibar alikuwa ni major producer wa clove Duniani tangu utawala Sultan wa kwanza kutoka Oman Bwana Seyyid Said.
  5. Abdulaziz Sadallah

    Kauli thabiti: Tutampiga Idd Amin kuiponya ardhi yetu Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao!

    Iddy Amin aliichukua ardhi yetu kimabavu sisi hawa wa leo tunawapa wenyewe![emoji848]
  6. Abdulaziz Sadallah

    Rais Samia ameletwa na Mungu. Harufu ya keki ya taifa tumeanza kuihisi katika pua zetu

    Mioyo ya great thinkers ni zaidi ya daladala, what kind of leaders do we need?
  7. Abdulaziz Sadallah

    Rais Samia ameletwa na Mungu. Harufu ya keki ya taifa tumeanza kuihisi katika pua zetu

    Corruption na matumizi mabaya ya ofisi za uma nk vilikuwepo vitu hivyo hata katika zama za mwalimu ukiipitia vizuri hotuba ya mwalimu Nyerere aliyoitoa mwezi march 1995 pale Kilimanjaro hotel utakiri hilo. Matatizo ya kimfumo hurekebishwa kwa katiba bora, na raisi Samia tayari umebarik mchakato...
  8. Abdulaziz Sadallah

    Rais Samia ameletwa na Mungu. Harufu ya keki ya taifa tumeanza kuihisi katika pua zetu

    Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu! Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani kikatiba baada ya kufariki kwa aliyekuwa raisi wetu John. P. Magufuli, jambo hili linatosha kuthibitisha...
  9. Abdulaziz Sadallah

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Du una haki ya kufa kabisa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Abdulaziz Sadallah

    KWELI Inawezekana kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye VVU/UKIMWI bila kinga na usipate Maambukizi hayo

    Franco aliimba nyimbo moja hit song called "sida" kwa wadau wa lingala, chukua tahadhari kuhusu ukimwi kwani upo na baadae yeye binafsi inasemwa aliugua na kufariki. So take care guys!
  11. Abdulaziz Sadallah

    SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    It reveals you to yourself which is a good thing but you must have a big head with the necessary brain unless otherwise you will suffer from mental disorders! Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
  12. Abdulaziz Sadallah

    Sura mbaya inanikosesha wachumba, nifanyeje?

    Mkuu umejilinganisha na nani mpk udai kuwa una ugly face, wanawake wazuri hawapendi wanaume wanaokaribia sura kama wanawake hiyo ni kwa mujibu wa tafiti, huko marekani wanawake 77℅ waliohojiwa kwamba wanapenda nini kwa wanaume walidai haya yafuatayo; 1. Confidence: hii inawafanya wanawake...
Back
Top Bottom