Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.
Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua nguo,viatu,mikufu ya kila aina,
akaingia saloon kutengeneza nywele,halafu akarudi kwa jamaa na kumwambia...