Recent content by abdul0402

  1. abdul0402

    PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

    Hii nchi ukizaliwa bubu na kilema wa mikono utaishi maisha ya amani sana.
  2. abdul0402

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Upo sahihi teacher kuna usemi mmoja unasema hivi "jamii isiyofundishwa na mwalimu basi itafundishwa na wapumbavu" naelewa jitihada zenu kwenye kupigania future ya Taifa kwani leo hii nimekua mhandisi kwa kupitia mikononi mwa walimu ila kinachonitafakarisha ni kwa namna gani tutaipandisha hadhi...
  3. abdul0402

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Kuna mkuu mmoja wa shule fulani (namhifadhi) aliwahi tamka "mimi kama boss wangu aliwahi kunitukana kisa nilichelewa kufungua mlango wa ofisi na nilikaa kimya kwakua ni boss wangu" kwakifupi walimu hua wanajishusha thamani wenyewe na hawapo tayari kujirekebisha just imagine mkuu wa mkoa...
  4. abdul0402

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Hapana si mwalimu ila hainifanyi kutoyajua hayo, kingine sio wote wanaokuwepo kwenye kituo cha usahishaji mitihani basi ni mwalimu, kingine hua nawaheshimu hawa watu ila naishiwa nguvu pale wanapobehave sehemu ambayo haikutakiwa kua hivyo.
  5. abdul0402

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Kwenye swala la kiapo niko pamoja na wewe ila ukweli ni kwamba kwahayo maslahi ni 99%, kuna mwamba mwaka fulani aligomea baada ya kuanza mchakato wa kusahisha akala ban na tangu kipindi hicho jamaa akiitwa kwenye hiyo kazi haendi, kingine mbali na maslahi wanachofanyiwa walimu ktk hivyo vituo ni...
  6. abdul0402

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Kuna mmoja niliwahi kumuuliza jibu alilonijibu direct liliniambia kua kwao uoga wanafundishwa vyuoni na ndio uzalendo, kuna slogan yao ambayo wengi wanaamini kua kwenye kazi ya ualimu hakuna solidarity hivyo kama ni haki basi itafute kwa maslahi yako na sio wao.
  7. abdul0402

    Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Ningeomba usaidizi nahitaji kufungua jina la biashara na nimefuata hatua zote ktk usajili kupitia mtandao ila kuna baadhi ya taarifa naona mfumo unazikataa, so mwenye uzoefu nalo ningehitaji tuwasiliane tafadhari.
  8. abdul0402

    Tiba ya ugumba

    Alienda wife pekee na kwaupande wa location maybe nitamuuliza then nakuleta mrejesho. Kwakifupi namshukuru Mungu ilimsaidia
  9. abdul0402

    Tiba ya ugumba

    Kwenye upande wa gharama kidogo wapo juu kwani alienda wife pekee ila location maybe nitamuuliza then nakuleta mrejesho. Kwakifupi namshukuru Mungu ilimsaidia
  10. abdul0402

    Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

    Kuna manzi mmoja niliwahi kumuuliza kua hivi kwanini wale mnaowaita masister na maaskofu hua wanajisitiri sana mda wote lakini ninyi waumini hasa wakike hua mnavaa vimini hadi kwenye ibada, hakuwahi nipatia jibu hadi leo hii. Ila all in all wao wana dini yao na sisi tuna dini yetu
  11. abdul0402

    Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

    Ni bora ukutane na kijana kuliko muhuni aliyezeeka
  12. abdul0402

    Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kuna mda kama ukikubari thamani yako na ya ukoo wako ishuke basi kazi boss mwenye kibri itakua ni partner wako maishani.
Back
Top Bottom