Recent content by abdubasal

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ndo tumefikia hapa

    Kuhusu kumwaga bia sioni tatizo.....inaonekana mzee kipato kiko safi utanunua ingine...risasi tatu hewani mmmh uarabuni ungenyongwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahamisha wakuu wa mikoa wapya juu kwa juu

    Jibu hoja kwa hoja msituletee uzwazwa tusifie nini sasa unataka Akifanya vizuri wajibu wake kufanya hakuna anaebeza akikosea anaambiwa....ndo mana tuliambiwa nendeni shule mkasome sio mkakue
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Barick v. ACACIA na kitu kiitwacho "Legal personality"

    Iyo personalit legal inamlomda nani sas iv
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Hahaha kingerezaa kiingii Funguka viongozi washamba Wananchi mabwege Kazi yetu tunaongea mitandaoni tu
  5. A

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YA VIWANDA: Mgao wakutisha wa Umeme unaendelea Mtwara

    Kama umeme wa gesi unakatika Tumieni umeme wa nyuklia basi. CCM OYEEEE
  6. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Mmm raisi hatuongezi mishahara mpaka uchumi ukue Waziri hatuongezi mpaka uhakiki wa umri TRA uchumi unaongezeka Ztto kbwe uchumi unashuka..... Aah mara black mara white vipi.... Wasomi wanchii hii ni mbwa msio na meno
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale mwanamke unapojifanya kuwa na wivu, mnaboa sana

    Umejua kumjibu sana huyu mshenz
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwenda Nairobi hadi sasa kwa viongozi wengi wa CCM na Serikali kunatoa picha gani kwa umoja wa Kitaifa?

    Zwazwa kwelikweli nawew khaa Yule amepigwa risasi akitaka kuwawa wew unazungumzia ugonjwa wa tezi dume.maskio kma upwawa wa magozi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwenda Nairobi hadi sasa kwa viongozi wengi wa CCM na Serikali kunatoa picha gani kwa umoja wa Kitaifa?

    Mm ndo navyopenda kila kitu kivurugike tujijengee misingi yetu wenyewe hawa wazee wa 60 to 80 wanatuzonga
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi Unazidi Kudidimia, Thamani ya Shilingi Yashuka, Mfumuko wa Bei Wapanda

    Hali ni mbaya nimbaya kwelikweli yni ikiendelea ivi uko mbele tutapasuana
  11. A

    JamiiForums Tanzania TRA: Tumekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65 kuanzia Julai hadi Septemba 2017(Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2017/18)

    Watu muelewa kabisa izo pesa sio kma zipo cash on hand hpana iyo inaitwa accrual hyo ni makadilio tu Sasa nyie jipongezeni
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Zote ni private hair zinawajibika kunyolewa zinapokuwa zimezidi Mana unaweza ukafuga uchafu Alafu kuhusu ishu zingine inakuwa siri ya mtu na mungu wake Akinyoa za kwake akiacha za kwake We huzioni na yeye hazioneshi Na mungu ndiye mwenye kujua zaidi
  13. A

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Tumepanga mpango mkakati wa kuwashughulikia vizuri sana wale ambao wanakwepa kulipa kodi

    Kwani tuwapeni pesa zetu wao wanatupa nini sisi Waache mambo yao. (Ukila cha mwenzio nawew chako lazima kiliwe,wao hawataki kuliwa eboo)
Back
Top Bottom