Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

Kazi kwake kuongeza au kutoongeza. Na sisi tutatoa huduma kulingana na kiwango cha mshahara tunaopata.
 
Kumbe huyu MKUCHIKA ni very smart eeeh!!? ..., Siku 2 tu baada ya kuteuliwa kwenye wizara amegundua wapo watumishi elfu 40 waliogushi umri..

Sawa.., sasa uhakiki wa nini kama anajua wapo elfu 40!? Si uwaondoe kwenye pay—roll tu.. Ya nini ya tahariri ya uhakiki kwa gharama za serikali!? Ok.., Mmetulia chimbo na kuamua kutoka na hilo jambo..., mnasema pesa za serikali zinapotea.., sasa pesa za serikali zinapotea vipi wakati zinalipa wafanyakazi hao wa umma hata kama hao wafanyakazi ni wazee?

Acheni maigizo.. Wafanyakazi wamewakosea nini kwani!? Mnawapa usumbufu usiokuwa na tija.. Kisa nyongeza ya mishahara.. Mnachosha sana ninyi watu.. Kwa hali hii.., Mnaweza kuanza kukagua hata sehemu za siri za watumishi kubaini kama 'wamegushi' nyaraka za nyeti zao.. We're fade up with these nonsensical matters..

MKUCHIKA ni kanali mstaafu wa jeshi... Sasa ni waziri.., amekuwa mbunge tangu 2010, amekuwa DC, Amekuwa RC, amekuwa mtumishi wa serikali tangu (1978) kabla mimi sijazaliwa.. Hadi sasa naisoma namba bado ni mtumishi wa serikali..., halafu anaona wenzake ndio waliogushi umri.. Kweli Nyani haoni kundule... Tuachie ofisi zetu za umma.. Wewe staafu..., umezaliwa 06—10—1948 (miaka 69) hadi sasa upo serikalini tu!?
______________________

MMM
Inasikitisha sana nyani haoni kundule hahahahahahahaha!
 
Inaweza fika hata hiyo 2019 akashindwa
Mshajua kuwa wapo 40 elfu si ina maana uhakiki mshafanya?


Ngoswe anajinasibu kuwa msema kweli kwanini asiseme tu kuwa ataongeza mishahara 2019 mwishoni ili apate cha kupigia push-up kipindi cha kampeni 2020!
kulipa
 
These are some of the things that troubles my mind .

1.When this " Public sectors Workers details scrutiny " will ever be completed ?.

2. The cost of living is currently high " it has risen steeply " how can these poor folks who are the core for so called country's productivity afford the cost of living ?

3. Can we ever achieve increased desired Nations productivity without their motivation / incentive which is reasonable wages and salaries to that matter ? .

4 . We have been informed recently that TRA has managed to collect a revenue of 1.3 trillions in Tsh over the second quarter of this year ,
So what makes the Government deny country's workers of their legitimate right ? given the claimed fact we have managed break the revenue collection record in this year (we have collected more than we have ever done before )

5.Perhaps there is something more mysterious /bizarre (worse condition) concerning our nation's economy that has been hidden from masses .

THIS ISSUE WORKERS SALARIES AND WAGES INCREMENTS MIGHT BE MERELY THE TIP OF ICEBERG OF SOMETHING FAR MORE WORST THAN HOW WE HAVE EVER ANTICIPATED BEFORE
Hahaha kingerezaa kiingii
Funguka viongozi washamba
Wananchi mabwege
Kazi yetu tunaongea mitandaoni tu
 
By the way waliopata nyongeza ni waliopanda Madaraja tu na sio kuwa Kuna nyongeza ya Mishahara Tanganyika. ...Znz ipo nyongeza ya mishahara ndio maana kima cha Chini kimepanda from 150 to 300 K ...
 
By the way waliopata nyongeza ni waliopanda Madaraja tu na sio kuwa Kuna nyongeza ya Mishahara Tanganyika. ...Znz ipo nyongeza ya mishahara ndio maana kima cha Chini kimepanda from 150 to 300 K ...
 
Back
Top Bottom