Recent content by abdilahi mriri

  1. A

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Hata hivo huyu jamaa kwenye katuni zake ni bingwa wa kuichafua serikali kwahiyo haikosi analipwa ila alipwe asilipwe hakika be dhambi kubwa kurumia neema mungu aliyokupa bure kuwaudhi watu kwakutumia rasilimali ya umri ambao huna uhakika wa kuishi hata dakika moja mbele utajiri wako wadunia...
  2. A

    Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

    Kisheria hakuna benki au huduma yoyote inayoruhusiwa kufunguliwa bila choo ila hili on sisi ndo tunatakiwa tupigie kelele hili kwa mfano moshi be benki moja tu yenye Choo cha ukweli nayo ni Kilimanjaro cooperation bank zingine sijaona ila nadhani vipo shida ni uchoyo Na uvivu wa kuvifanyia usafi...
  3. A

    Rais Magufuli amfuta kazi Kamishna wa Madini Mhandisi Mchwampaka, amteua Prof. Manya kuchukua nafasi hiyo

    Hi ni sawa rais Fanya yako bila kujali chochote wala yeyote hatuna wasi Na WW hata 2006 nakuhakikishia muheshimiwa u PM ulikuwa ni wako jamani tunaokujua uchapakazi wako tulikuwa tunakuombea sana mkuu ila ndo hivo tena bahati ilichelewa kufika Na hakika tungekuwa mbali zaidi naamini hata MH...
  4. A

    Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

    Hi Sharif muogope mungu kutumia neno ukafiri kwenye chombo cha habari si vizuri watu wanaona wametukanwa japo kidini umemaanisha MTU asieamini lakini kwa Kiswahili ni tusi kama matusi mengine Na kisheria unafungwa Na kivingine pia kidini ni dhambi ni sawa Na kwenda kwa jirani yako ukaanza...
  5. A

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Hi watanzania jamani mlimuona akifanya chochote? Si vizuri kumsingizia MTU vitu vya uongo jamani hata waswahili husema umdhaniae ndiye kumbe siyena dini zinasema kudhania ni madhambi Na kubwa zaidi tuache kufumba macho jamani magufuli ni jembe jamani cha muhimu raisi chapa kazi Na ww kama dereva...
  6. A

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Hi watanzania jamani mlimuona akifanya chochote? Si vizuri kumsingizia MTU vitu vya uongo jamani hata waswahili husema umdhaniae ndiye kumbe siyena dini zinasema kudhania ni madhambi Na kubwa zaidi tuache kufumba macho jamani magufuli ni jembe jamani cha muhimu raisi chapa kazi Na ww kama dereva...
  7. A

    Hoja hufungwa kwa hoja si kwa vitisho wala kifungo mahabusi

    Na kikubwa zaidi kwakuwa mechi bado inaendelea Na urefa mungu amewapa tunawaombea mungu filimbi zenu mzitumie vizuri ili huyu mesi wetu wa Tanzania azidi kufunga magoli Na hasa kwa kasi yake faulo kweli zinaweza kutokea lakini mkumbuke kumtendea haki jamani Na mungu awabariki sana.
  8. A

    Hoja hufungwa kwa hoja si kwa vitisho wala kifungo mahabusi

    Hi jamani x hii imepambwa Na mahubiri mengi mazuri ila naona chakula hiki cha kiroho kimezidishwa viungo hivi unajua chakula hiki wanakokondoo saa ingine tunatoka tumeshiba kabisa zaidi ya MTU uliekula wali kwa kuku ndo mana utaona kuna wahubiri akitokeza tu watu wanajaa ila inabidi tuabalansi...
  9. A

    Hoja hufungwa kwa hoja si kwa vitisho wala kifungo mahabusi

    Hi jamani nyalandu akihama hajanunuliwa wengine wakihama wamenunuliwa hii inakujaje? Wanyonge tunyongeni lakini yetu tupeni
  10. A

    IGP Sirro: Malalamiko yatolewayo na viongozi wa upinzani dhidi ya Polisi katika uchaguzi mdogo si ya kweli

    Kwakweli gari hizo zilikuwa ni T7765Aen Na t762Aen landcruza Na zinajulika niza kigogo mzito tu wa upinzani qliefariki juzijuzi Na tukio liliripotiwa polisi bomangombe majeraha tulisha jitibu ila wangejitokeza watengeneze gari nii kama 2m hivi wala hatuna shida ya kesi yote tunasamehe kwani ndo...
  11. A

    IGP Sirro: Malalamiko yatolewayo na viongozi wa upinzani dhidi ya Polisi katika uchaguzi mdogo si ya kweli

    Hi yani hawa watu awatofautiani Na Ile hadithi ya kile ya kinyama kichokozi kikimpiga mwenzake alafu chnyewe ndo kinalia kionekane ndo kinapigwa kumbe hapana chenyewe ndo kichokozi daima namfano ni siku yamkesha wa Kura za udiwan nilishuhudia tukio la kutisha landkruza mbili zilikuwa zikifanya...
  12. A

    Airtel Tz mko serious kweli? network ya hovyo ( too slow) na bundle nazo mmezifanya za hovyo

    Acha hiyo mi nimeiweka hivohivo lkn nikipiga SM inasema haina salio nionavo Zain haijawahi kupata waendeshaji ewnye akili wote ni wote on hopeless walianza na ujambazi wakuiba efu 5 wakijidai ni ofa ya dakika sijui Mia 5 ukiweka tu SM haiendi inakwambia ofa inaanzia SA 6 usiku sasa utasema on...
  13. A

    Mama Mghwira Kuhamia CCM Leo Wakati Kwa Miezi 6 Yupo Kamati ya Siasa (m) ni Kichekesho!

    Hapana jamani kwanza nimpongeze tu rais kwa teuzi zake mbali mbali zisizojali uccm wala upinzani najua nishida kwa baadhi yawanaccm ambao hawajisii vizuri kwa teuzi hizi ila jamani hatuwezi teua kama zawadi tunateua kulingana na kiwango cha uadilifu uchapakazi pia tunacheki mtu asiwe na makundi...
  14. A

    Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Namm naongezea katoa wafanyakazi hewa zaidi ya elfu kumi kazivuta kwake wizara 2 muhimu zenye purukushani nyingi ambayo ni tamisemi na utumishi na hata tulitegemea labda atachoka aziondoe kwake lkn wapi hadi leo yuko nazo na anaziendesha alipoi gia madarakani alikuta hali ya hazina ilikuwa mbaya...
  15. A

    Kwanini karibu kila kitu anachoanzisha Magufuli kinakuwa na mwisho mbaya?

    Nimemaanisha tu kuwa udokozi ukizidi kinachobaki ni kugawana fito zabanda Na ndo basi tena k up duka kimekufa. Kwa hiyo ndugu zangu naomba nikumbushe mengine ambayo ni kama kumaliza ufksadi mbalimbaali wafanyakazi hewa barabara Na mengine iengi naww taja basi hayo yaliyofeli?
Back
Top Bottom