Mkuu ina maana ajira ya hio hospital haitolewi tena na ajira portal instead ni directly kwenye website ya hospital au unamaanisha nafasi ya kujitolea wametangaza?
Bro i had the same issue na mm, fundi wangu kanitwanga 20w50 kasema hio ndio inafaa ila asee baada ya kusoma na kuchunguza sana nkaona ananiingiza mkenge huyu, soln ni 5w30 , nadhan inabd tufike hatua tuambiane tu ukweli mafundi sahihi wanapatikana wapi maana asee wajuaji huku mtaani ni wengi mno
Asee kwa hili TTCL wanazingua sana imagine mm nakaa tabata round about mandela road , nmefungiwa fiber since 6 months Ago, yani tangu nmeekewa mpka leo haifanyi kazi eti server imejaa kwahyo hakuna sehem ya kuweka wateja wapya??? Wtf??,, 4 months nmehangaika na ma surveryor, mpka mmekuja kuweka...
Moderators please fungieni upuuzi huu wa kidini, mbna mwendazake kaharibu kila kona kwa udini lakn watu tumekausha? Mbna mpka ss hv ajira zote za utumishi asilimia 95% ni wakristo esp kwenye mataasisi na watu tumekaa kimya????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.