Recent content by abdallah1503

  1. A

    Nahyan mobile shoop

    Naomba kufahamishwa kati ya a20 na m20 IPI imenyooka?
  2. A

    Ubora wa Simu mpya za a2 na a10 upoje?

    Naomba nipewe ubora na udhaifu wa simu tajwa hapo juu kwa walio wahi kutumia
  3. A

    Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima

    Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima cha ajabu kuja. Kuchaji haingizi chaji nikitoa betri na kuchaji kwa mchajio wa Kobe ola nikaazima betri yenye chaji nikiweka bado haiwaki hainyoshi chocjote nini tatizo msaada jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Lugha

    Kati ya sentesi hizi mbili ipi ni sahihi ukimaanisha kuwa hakuna mtu mwengine zaidi yako? 1.nipo mwenyewe. 2.nipo peke yangu Bytheway,napenda kuzungumza kiengereza kwa ajili ya practice ingawa sijui sana ; aliyetayari kufanya mazoezi na mimi no yangu ni 0684066626(abdallah hassani) Sent using...
  5. A

    "Nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake

    Hivi kuna sentensi moja nimekua nikiisikia hususan kwa watu wa dar na bara inayosema "nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake; kwa mimi mtu wa pwani naona sentensi hii si sahihi badala yake isemwe "nipo peke yangu" Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    English learning thread

    No 0684066626 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    English learning thread

    Dah,we bado, Mimi na 37 nichokoze halafu uone kama age matters in English practice? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Jifunze TENSES hapa

    Nina swali mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    English learning thread

    Katika swala la practice usiangalie age mzee jali nini unafaidika; utafeli. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Tunauza na kutengeneza mikoba na mabegi ya ngozi

    Ila wanaume siyaoni mkuu au ndio hayo hayo? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Tunauza na kutengeneza mikoba na mabegi ya ngozi

    Mbona kama nylon au plastic? Ni kweli ngozi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Tunauza na kutengeneza mikoba na mabegi ya ngozi

    Weka sample ya mabegi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom