Recent content by abdallah mwakasege

  1. abdallah mwakasege

    Rais Magufuli amteua George Waitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA

    Jamaa umenifurahisha sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  2. abdallah mwakasege

    Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    Huyo ndio Joshua atakae tuvusha. Asiempenda akale limao (gwajima voice)
  3. abdallah mwakasege

    Mwakyembe akanusha taarifa iiyokuwa inasambazwa kuwa atadili na Lowassa

    Nimekukubali mbunge wangu hapo nitakuchagua tena. Mbeya hakuna mwenye majungu kama mikoa mingine.
  4. abdallah mwakasege

    Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

    Hahaha!!! Soda ni fumbo ila anamaanisha ............naona watu hamkuelewa.
  5. abdallah mwakasege

    Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

    Barcelona washafulia mtu wao atupishe
  6. abdallah mwakasege

    Floyd Mayweather infront of 'his' luxury cars and private Jet!!!!

    Mbona gari zenyewe ni colora au anafanya biashara ya tax.? Hakuna hata V8 moja!!!
  7. abdallah mwakasege

    GE2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

    Kwa statement yako, wepi ni wengi kati ya waliokosa promotion kwa wabunge? Au waliopata promotion?kisha utapata jibu. Kwa taarifa za wajuzi Wa mambo wabunge 154 team lowasa,na wanec 800 wengine wenye kura turufu utawaona white States siku hiyo. Wale waliokuja pale ni viongozi tu team EL.
  8. abdallah mwakasege

    GE2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

    Kodi na wewe kama hela unanyo, sio kubaki anakodi.
  9. abdallah mwakasege

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Achakutapata, weka ushahidi. Acha politics za kifaidhina.
  10. abdallah mwakasege

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Nataka niapply loan course procurement and logistics. Lakini ndio nipo diploma 2, semister ya pili . je naweza omba hata kama sijapata matokeo? Ila natarajia kujiunga bachelor mwaka huu.
  11. abdallah mwakasege

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Nataka niombe loan ,course procurement and logistics.
  12. abdallah mwakasege

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Hivi wakuu kwa wanaomaliza diploma mwaka huu mweka huu matokeo hayajatoka wanaweza omba?. Maana ndio wapo semister ya mwisho diploma
Back
Top Bottom