It's true wanaomwogopa Lowassa ni watu wa CCM hasa viongozi wa juu kabisa kwa sababu wanajua walichomfanyia alivyojiuzulu. Alijitoa mhanga alijua atalindwa na washiriki wenzake aliowaacha nyuma.
Lakini kwa bahati mbaya alivyoondoka na wenzake ndiyo wakamtupia tope lote ili kujiokoa wao. Wanajua akirudi atawafanyia nini. Kwetu sisi ambao siyo CCM hii ni theatre moja yenye action kali sana. Vuta kiti.