Recent content by ABDALLAH AMOUR

  1. ABDALLAH AMOUR

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

    Kwanza ningemshauri amalize kadhia za wafanyakazi waliobambikiwa kesi kisha wakafukuzwa kazi na hata kesi zao zilipofutwa waajiri walikataa kuwarudisha kazini bila sababu ya msingi. Hii ni changamoto ambayo inasumbua wafanyakazi wengi wa umma na malalamiko yao yanapuuzwa
  2. ABDALLAH AMOUR

    Waliofukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi

    Msaada kwa anayejua taratibu za kisheria ili muhusika apate haki zake
  3. ABDALLAH AMOUR

    Waliofukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi

    Habari, Kuna watumishi wa umma ambao walifukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi na kupelekekwa magerezani, mara baada ya kufutwa kwa kesi hizo nini hatma yao ya kiutumishi? Msaada kwa wajuao.
  4. ABDALLAH AMOUR

    GE2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

    kila la kheri mwanamama mpambanaji, msomi na mweledi katika masuala ya sheria. Tangulia mama usijali kelele za chura vijana tuko sambamba nawe kwa hili
  5. ABDALLAH AMOUR

    Unataka ubaki kuwa kijana na uzee ukukome soma hapa

    no research no right to speak!!!! kwa staili hii lazima niongeze mke wa pili niishi mpaka nitolewe nje nianikwe kwenye jua
  6. ABDALLAH AMOUR

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Biashara ya chipsi ni nzuri sana kani ndio chakula kikuu kwa raia wa Da Es Salaam bila ya kuangalia jinsia zao. Cha msingi nikuweka malengo ya biashara yako unataka kuifanya kwa mfumo gani, kuna majiko ya gas mengine ya umeme mengine ya mkaa cha msingi ni kuangalia bidhaa gani utapata kwa...
  7. ABDALLAH AMOUR

    Nafikiri kuanzisha kakiwanda kidogo cha kuchakata viungo vya chakuala mbavyo najua kwa wapishi wa mijini inakuwa ni ngumu sana kuviandaa

    khabari za mchana wadau na vijana wote mlio wanachama wa Jamii Forum pendwa kabisa. Napenda kuwakia jumatatu njema na yenye baraka kwa wote. Nadhani inafahamika kama kwa sas kuna changamoto kidogo ya ajira ingawa tunasisitiziwa sana kuanzisha viwanda kwa ajili ya kufikia lengo la serikali...
  8. ABDALLAH AMOUR

    Niko Njia Panda Nahitaji mawazo yenu

    hizo ni dalili za kuwa pana pendo la dhati na la kweli, cha kukushauri jiongeze ukiona kaa kimya sna na muda unakwenda kweli kumbukamuda ni mali
  9. ABDALLAH AMOUR

    TAFAKURI YA MWAKA 2019

    KHABARI ZA ASUBUHI WANAJAMVI, NATUMAI KWA UWEZO WAKE MWENYEZI MUNGU AMEAMUA KUTUPA TENA NAFASI YA KUUONA MWAKA 2019 TUKIWA NA AFYA TELE KWANI SAFARI TULIIANZA WENGI ILA TULIOBAHATIKA KUINGIA MWAKA 2019 NI WACHACHE. NI JAMBO LA KUSHUKURU KWA SANA KWA MWENYEZI MUNGU. AWALI YA HAYO JE UNA...
  10. ABDALLAH AMOUR

    Biashara ya kupokea wageni ya bnb

    MUNGU ATUBARIKI SOTE KWA NIA ZETU SAFI IN SHA ALLAH , HAKIKA UNAPOMTENDEA MJA JEMA MOJA BASI MUNGU HUKULIPA MEMA KUMI, TUENDELEE KUTENDEANA YALIYO MEMA
  11. ABDALLAH AMOUR

    Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

    AFADHALI KAMA UMELIONA HILO ILA CHUKUA YALIYO MAZURI MANA YANAWEZA YAKAKUSAIDIA SIKU ZA MBELENI ILA HAYA YA HAPA YA KEJELI, DHARAU NA VIJEMBE NIACHIE MWENYEWE MTOA MADA
  12. ABDALLAH AMOUR

    Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

    HIZO DAWA YAKE NI KULIPA TU DENI LA WATU MANA UKISHALIPA WASIWASI WA DENI UNAONDOKA NA NDOTO HAZITOKUJA TENA
  13. ABDALLAH AMOUR

    Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

    HATA KITUNGUU THAUMU PEKE YAKE PIA INASAIDIA SANA ILA UKIPATA NA HIVYO VYENGINE INAKUWA NZURI SANA ,AHSANTE KWA KUNIPA DAWA NYENGINE ALLAH AKUBARIKI IN SHA ALLAH
  14. ABDALLAH AMOUR

    Biashara ya kupokea wageni ya bnb

    HAPANA NYUMBA AU VIJUMBA MAENEO YOYOTE SI LAZIMA IWE KARIBU N AIRPORT KWANI KUNA BNB MPAKA GOBA KAKA NA NYINGINE KIGAMBONI CHA MSINGI UPATE ENEO ZURI LENYE USALAMA LINALOFIKIKA VIZURI
Back
Top Bottom