Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.


2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku 21.


3.Chukua mpandde na halititi pamoja na kipande cha ndimu uwe unajipaka x3 kwa muda wa siku 21 asubuhi na jioni na saa ya kulala. Vikombe 13 ajipake 1/2 kikombe cha chai


4.Twanga kamun as-wadi , harmali, kibiriti upele, swandali ahmar na halititi, bila kuchunga na ajifushe x3 kwa muda wa siku 21
Aliwazalo mjinga ndo linalomtokea huyo mtu ajiandae kuingikiwa live na sio ndoto yena ski chache zijazo
 
HATA KITUNGUU THAUMU PEKE YAKE PIA INASAIDIA SANA ILA UKIPATA NA HIVYO VYENGINE INAKUWA NZURI SANA ,AHSANTE KWA KUNIPA DAWA NYENGINE ALLAH AKUBARIKI IN SHA ALLAH
Jina la YESU likiitwa kwa imani mara moja tu wakati mapepo hayo yajapo inatosha kabisa!!!
 
Badala nizingatie tiba iliyotolewa imebidi nicheke kwa maoni,maswali na vibweka vya wachangiaji.
 
Badala nizingatie tiba iliyotolewa imebidi nicheke kwa maoni,maswali na vibweka vya wachangiaji.
AFADHALI KAMA UMELIONA HILO ILA CHUKUA YALIYO MAZURI MANA YANAWEZA YAKAKUSAIDIA SIKU ZA MBELENI ILA HAYA YA HAPA YA KEJELI, DHARAU NA VIJEMBE NIACHIE MWENYEWE MTOA MADA
 
Jamani inaenda miaka 6 sasa! Nimekuwa nasumbuka kwa hii shida!!

Kibaya zaidi inakata kabisa hamu ya kukutana na mzee!!! Aiseee no ngumu mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom