We n jinga hivi unadhani israil n wakristo? Ukristo n ndogo sana Israel IPO hivi uzayun ndio din kubwa Israeli kisha Uislaam mwisho ukristo unaposikia waislaam wanapigwa sio wao tu hadi wakristo yanawakuta ila wazayuni ndio wanaokula bata.
Tatizo sio wazazi wala watoto tatizo n mfumo m'bovu unaotuongoza DEMOKRASI/CAPITALISM ndio unaruhusu hayo kuondoa tatizo hili lazima tuweke mfumo m'badala ambao n Uislaam kwa SERIKALI ya KHILAFAH ndio suluhisho sahihi pekee
Sio mzee magufuli tu mwenye maneno km hayo marais wote kupitia DEMOKRASIA ndio maneno yake sio yeye pekee acha kumwonea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann tuwe masikini wakati tunalipa mikodi mbalimabli, tuna madini, mafuta,gesi nk TATIZO N DEMOKRASIA UKOLONI MAMBOLEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Udikteta ndio mfumo unaotwala dunia kwa hivi sasa, wametuletea demokrasia ati Uhuru kumbe n ukoloni udikteta, tatizo sio SERIKALI wala magufuli ishu n mfumo unaotawala hakika demokrasia ndio tatizo la dunia hii tuondoen kwanza demokrasia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo unaotawala dunia ndo umeanza kuwa dikteta kisha huwalaghai wananchi kuwa eti demokrasia n Uhuru khaaaaa tuondoeni demokrasia kwanza mfumo wa ulaghai na unyonuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.