Recent content by abaa4all

  1. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kosi hilo
  2. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea haijawahi kuogop timu zikiwa kwenye ubora wao Barcelona kwenyr ubora wake kafungwa Bayern kwenye ubora wake kafungwa Man city kwenye ubora wake kafungwa Chakujiuliza :kwanin watabiri wameipa chelsea asilimia kubwa kuchukua kombe? Jpili sio mbali
  3. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mark my tweet
  4. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jumaapili sio mbali tuombe Uzima tu
  5. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jumaapili utaona
  6. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimeanglia mpira vzur Chelsea anaweza kumfunga PSG final madrid hakucheza kitimu
  7. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Leo tupe source kwa sabb umezidi yan masaa 48 israel yy anashambuli tu mafuta anajaza saa ngap hao mapilot wanakula saa ngap zile ndege hazina hata vyoo haja wanaenda saa ngap ?
  8. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kwahyo hilo zoezi wamefanya marekani na israel na sio Iran kama wanavyosema wao ?
  9. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Iran kazingua aisee kma anawahamisha watu means hakuhamisha km anavyojigamba
  10. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Vita viishe watu warudi katika maisha yao yakawaida aisee
  11. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Nikiingia X (Twitter) naona Iran anashambulia nikija huku naona Israel hata sielewi aisee
  12. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Mkuu Isfahan umeirudia zaid ya mara saba leo tu hiyo sehemu hizo muhim haijaisha tu
  13. abaa4all

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Hz apdate inaonekna israel siku nzima anapiga naon kma kuna propaganda hakuna uhalisia yan masaa 24 hawapumzik leo hyo irani si ingekuw haitamaniki
  14. abaa4all

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Brazil vs Italy 1970 in Mexico hii nilishuhudia uwanjani mwenyewe and was my first World cup to attend jamani hii mechi pele kafanya kazi ,sijawah kuona balaa lile tena , Brazil alikuwa na watu dah miaka imekwenda. Rip Pele
  15. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uwanjani watu hawachezi na bangi
Back
Top Bottom