Recent content by AAQIL

  1. A

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa asababisha mwandishi kukatisha kipindi cha Mada moto

    Huyu jamàa anadhani hatuna TV ama!?!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ni mtazamo tu "prosecution"

    Mimi sio mtaalamu wa sheria lakini nimeona iko haja ya kuona uwezekano wa kuweka vizuri huu utaratibu/sheria kwamba mwanasheria wa serikali kuwa na jukumu la kuruhusu kupeleka kesi za jinai mahakamani badala ya polisi kama zamani what if mwanasheria yeye mwenyewe amehusika kwenye jinai hiyo? Na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wake?

    Ok but huo unazo initials na jina la mtu na sio state artoney au municipal artoney pekee huo unasomeka vyote ie "MUNICIPAL STATE ARTONEY" na qualification ni "LEGAL OFFICER"
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wake?

    Mkuu constructive thought nashukuru kwa mchango mana inaonekana kuna watu wamefanya ukanjanja na wametapeli nyumba ya yatima kwa docs za kutia shaka kama hizo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wake?

    Hapana mkuu huo ni mfano tu sio mtu halisi nilitaka ieleweke jinsi muhuri unavyosomeka Pia samahani kwa yoyote aliyekwazika kwa matumizi ya jina hilo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kosa la kugushi adhabu yake ni nini?

    Mkuu salary slip hata mimi ningependa kufahamu mana kuna ishu imefanyika ardhi inaendana na ulichokiuliza hapa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wake?

    Habari zenu wakuu, Ningependa kufahamu, Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake wakati huohuo ukionekana kama muhuri wa manispaa? Mfano muhuri usomemeke A.D Rutashobya Municipal state artoney Ahsanteni
Back
Top Bottom