Ili uache kumlinda Rais moja labda upatwe na ugonjwa flani (maradhi) pili labda ufikie umri wa kustaafu kisheria na tatu labda upandishwe cheo. Mfano huyo unaesema karisishwa akipandishwa cheo na umri wa kustaafu ukiwa bado itabidi arudi jeshini aendelee kulitumikia jeshi kwa cheo chake kipya...
Wewe ndo hujitambui. Mdee amesema ukweli vita dhidi ya dawa za kulevya inahitaji hela na bajeti inayoishia hakuna fungu kabisa linalo onyesha kuwa kuna fungu la fedha kwaajili ya kupambana na dawa za kulevya. Je hapo utakuwa unapambana au story?.
Nchi ipo katika kipindi kigumu sana nani hatari sana kwa mtu credible kama yeye kuongea vitu km hivyo ila naamini hata mji wa mwizi waweza ibiwa pia vivyo hivyo hata viongozi wetu wa membalini na altare wanaweza pitiwa na shetani huko huko membalini na altareni kama waumini wengine wapitiwavyo...
Haaaah haaaah! Africa soccer show chini ya uzamini wa beer ya castle larger wenyewe walipenda kuiita beer balanced to perfection. ITV walikuwa na vipindi kama vya magic moment na Vibe.
Kweli ni nimeamini kuna watu akili zao zipo mfukoni. Mtoa maada amezungumzia kuwa wadaiwa walokopa kwa makubaliano 8% itakuwa siyo vema kuwa kata 15% ambayo haikuwepo wakati wanaingia mkataba wa kupewa mkopo kwahiyo ni vizuri waje wakatwe wale ambao watakuta sheria ya kukatwa 15 % ya kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.