Recent content by Aab2

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini trafiki akisimamisha daladala, lori au basi anateremka konda/utingo na si dereva?

    anadraw chochote kwenye atm ya kiwi. Ova
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    muhimu mkuu naamini ni hapo kwenye sukari, achana na chai nyakati za usiku mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Tabora, kigoma,Dodoma,singida weka mbali na mimi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

    nyongeza yenu ni ile ya kiwi. Ova.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Kila mtu ashinde mechi zake alooo!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

    Sio lazima kila mtu asome, kuna wengine wakishajua kusoma na kuandika inatosha.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

    Nafkiri mkuu sio wote ila wengi wenye pesa wana confidence ya hali ya juu sana.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

    Hapana mkuu, ni mganda
  9. A

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

    Dahhh kuna mwamba mmoja pale DW anaitwa iddi sessanga, jamaa yule ana sauti ya utangazaji bhan!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania 😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

    Ivi hata Barclay's bank na penyewe kuna tozo?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Baada ya man u kumpiga Liverpool magoli manne pre season, walitamani msimu uanze sasa msimu umeanza wanatamani uishe, ndo kwanza kipigo kikubwa ni kutoka kwa Brentford tu na hajakutana na pep, jurgen k, conte na tomas T.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya huwezi kuwaambia chochote kuhusu Sauli yao

    Wakurya huwaambii kitu kwa zakaria.
Back
Top Bottom