Habari wadau.
Nina ofisi ambayo nimeifungua mwezi uliopita. Ni restaurant lakini pia inatoa huduma za catering. Ofisi zipo kawawa road opposite The Open university of Tanzania. Kwa sasa bado natafuta masoko hasa ya catering katika shughuli mbalimbali. Pia tunajihusisha na bakery & pastry...
Habari zenu wana JamiiForums,
Natafuta fremu ya biashara maeneo ya Survey - Dar es Salaam. Pia natafuta sehemu ya kufungua mgahawa.
Kwa mwenye taarifa yoyote anijuze tafadhali.
Asanteni sana.
Thanks mkuu, nimefika hapo na tayari nipo kwenye maongezi na mmiliki japo kodi ipo juu sana. Anahitaji $ 3000 per month, but tutafika katika mwafaka. Na kama kuna mahali pengine please nijuze. Unauza vifaa gani mkuu?
Ukichangia kwa mihemko, utakuwa huitendei haki jamii na wananchi wa Arusha. Pamoja na kutoelewana kwa hao viongozi wetu wawili, Lema alikuwa akitegemea maslahi gani baada ya hospitali hiyo kukamilika ambayo maslahi hayo yatakosekana baada ya RC kuweka jiwe la msingi hadi kufikia Mh Lema kudai...
Habari za siku wana Jamii.
Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze.
Asanteni sana.
Wana JF, napenda leo tuzungumzie aina za Mayai na upishi wake.
Nimeamua kuzungumzia mayai kutokana na wengi wetu kutojua aina hizi za mayai na kujikuta pindi tukitoka na kwenda mojawapo ya baadhi ya hotel zenye hadhi ya nyota tano kujikuta tukiagiza mojawapo ya aina mbili ya mayai kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.