Recent content by A2 P

  1. A2 P

    JamiiForums Tanzania Hivi, Papa John Paul II ni kweli alifika Tanzania au ni maneno ya watu tu?

    Nina mkanda wa VHS ukuhitaji nitakupatia ila ni zaidi ya miaka 20 haujaangaliwa
  2. A2 P

    JamiiForums Tanzania Yohana Alcohol Mapadlock Akipiga Kikombe Cha Babu.

    Hapo ni samunge loliondo.
  3. A2 P

    JamiiForums Tanzania Nape achukua fomu ya Ubunge jimbo la Mtama

    uBUNGO KUNA JEMBE
  4. A2 P

    JamiiForums Tanzania Mabilioni anayomwaga Lowassa Dodoma, TAKUKURU mko wapi?

    Mbona mnapenda kumchafua Rais mtarajiwa? Ester hayupo Rainbow pub na Rainbow pub ilishafungwa muda tu.
  5. A2 P

    JamiiForums Tanzania Laptop HP i3 (mpya) inauzwa bei ya mboga, nipo Dar

    I have only 350.
  6. A2 P

    JamiiForums Tanzania Laptop HP i3 (mpya) inauzwa bei ya mboga, nipo Dar

    Specifiction p/se.
  7. A2 P

    JamiiForums Tanzania Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.

    Ndugai ni kama mbuzi wa kafara. Mama makinda anajua kusoma nyakati
  8. A2 P

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Mwana JF jionee kilichojiri bungeni leo
  9. A2 P

    JamiiForums Tanzania Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

    Huu uzi ulikuwepo jana. Inatisha lakini huo ndio hali halisi
  10. A2 P

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

    thubutu!!!!!! Sio kwa zuma. Kwani kuna dongote bwagamoyo?
  11. A2 P

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

    dangote nitaipata wapi?
  12. A2 P

    JamiiForums Tanzania Pinda: Wanaopinga kodi ya simu hawana jema

    simu ninunue mimi, line ninunue mimi vocha ninunue mimi na vyote ninalipia kodi wakati wa kununua. Sasa hii tozo ya 1000 kila mwezi ya nini? Mbona majanga
  13. A2 P

    JamiiForums Tanzania huyu Afande mzima? au...?

    na huyu je zinamtosha?
  14. A2 P

    JamiiForums Tanzania Kuweni Macho Kwa Matapeli Hawa

    amini usiamini wa kike anajiita karvin romeo alijaribu kwangu nikamjibu sina ulafi wa kile ambacho sikukitolea jasho
  15. A2 P

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kwa kweli nilisafiri kwenda arusha kushuhudia uchaguzi na sijajutia safari yangu! Nipo hapa the big y club sekei napombeka na kesho mchana nitakuwa maeneo ya lumumba mungu akitujalia uzima
Back
Top Bottom