Recent content by A swahili Kid

  1. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Edo Kumwembe

    Huwa inaumiza 'legend' alianza kufanya anachofanya Oruma au Gift Macha....Alishavuka huko anapaswa kuwa mfano mzuri kwao (Ninaamini hivyo)
  2. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Edo Kumwembe

    Tutashukuru zaidi mkuu
  3. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Edo Kumwembe

    Yap,Kuna kipindi cha michezo cha Sports arena
  4. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Edo Kumwembe

    "Habari brother!!!! Habari za leo Edo Kumwembe? Pole sana na majukumu mazito sana ya Uchambuzi hapo Wasafi!!!Pole na kazi nzuri sana ambazo umekuwa ukizifanya kwa nyakati tofauti tofauti zinazowa 'inspire' vijana.....Hongera pia kwasababu wewe ndio uti wa mgongo wa vijana wengi wachambuzi na...
  5. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuchambua mpira na kuusimulia mpira uliouangalia

    Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za...
  6. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Nani Mkali wa freestyle kwa TANZANIA.? Kuna wa kumzidi CHIDI BENZI.?

    King Kong Chumaaaaaaaa
  7. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Ni wazuri ila hakuna aliyewafikia wa hapo juu
  8. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Nimekukubali bro Mimi number one fan wa Uno ila zile dakika aliniangusha Fid nimempa uwo u leader kwasababu km ulikuwa mfuatiliaji mzuri Kuna zile 'beats' ngumu sana na zile laini sana ambazo kina Uno walizishindwa na wengine yeye alipita nazo vizuri Ila nimeshukuru kuona watatu ktk wa5 umewakubali
  9. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Sawa Ryvany anaweza ku freestyle lakini sio King Zizi,sio kwa Nikki Mbishi Unatakiwa ujue hilo
  10. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Kipindi kidogo ndani ya kipindi cha PLANET BONGO cha EAST AFRICA RADIO NA TV kinachoongozwa na mtangazaji Abdallah Khamis Wambuwa, Ambacho kinatambulika kama DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI Ambapo Rapa mbali mbali wanaonesha uwezo wao waku ghani kwa 'beats' mbali mbali kimekatika mwaka Ombi binafsi kwa...
  11. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

    Pale mwanzo iyo haki walikuwa hawajaiona Kwakuwa wameona gharama zinawshinda Ndo wanaikumbuka Hamjui JPM hajaribiwi PAMBANENI NA HALI ZENU
  12. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Saidi Ndemla wa Simba SC afuzu kucheza soka Sweden

    Kila la kheri Ndemla
  13. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Niwe shuhuda tu wa hili Mimi mama yngu wa kambo ni mpare daaaaaaaaaaah siwafichi Nikienda home kupumzika huwa simalizi mapumziko Ninaapia kwa Mungu Ni mchoyo typically Afu Girlfriend wangu akipiga cm ndo shida inaanza Marafiki zangu wakija home tobaaaaaaa hadi wana wananiambia Yani huwa...
  14. A swahili Kid

    JamiiForums Tanzania Simba hutumia chini ya dakika moja pamoja na nguvu alizonazo

    Mbona unatoa povu vipi Shemela ameanza kulalamika nini??
Back
Top Bottom