Ninachokiona kwa sasa ni muhimili wa bunge kukosa Demokrasia inayojitosheleza na maamuzi ndani ya bunge kuwa yasiyo katika misingi ya Demokrasia huru ya Bunge. Kivipi!?
Bunge linaloongozwa na Spika na Makamu wake limekuwa likifanya maamuzi kibabe na sio kidemokrasia ya kibunge, Mfano huru...
Neymar kwenda PSG kwa £196m nikiibadilisha kwa hela yetu ya madafu ni Kama trillions karibu 600, Neymar amekubali Barca wanajipa moyo, Pesa inaongea wakati huohuo PSG wanataka kumsajili Sanchez kwa pesa ndefu
Tetesi: PSG to hold talks over £196m deal to capture Neymar from Barcelona
Sent using...
Suala la kususiwa kimataifa hiyo kauli siyo ya kizalendo, n.a. watakaonyanyasika ni wananchi wa Hali ya chini sio yeye Lissu...nimesikiliza kwa makini anavyosema naona hana point za msingi sitokei kanda ya ziwa na sijaona udikteta wa Rais Magufuli anaoongelea
Sent from my SM-G950F using...
Katika list yote hapo gari ambalo naafiki mzigo kwa ubovu ni freelander...very risky zina tatizo kubwa la Gasket na kuchemsha...hasa kwa nchi zetu za joto
Revolution ya Facebook/insta/snapchat na Twitter imeua social networks za zamani na kuzifanya ziwe za dating na biashara Kaman hizo hui ni pamoja na Badoo, Hi5, Tagged, soon MySpace
Kajichanganya tuh! Cheti ni kitambulisho cha kuqualify..... Mambo mawili kuhusu fake education na education of below standards ndio main point yake huwezi rukia hiyo point kama haujaclear from top archiving genuine candidates
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.