Nawe umeng’ang’ania Kempinski Kempinski kwanza Tanzania hatuna Hotel hiyo tuna Hyatt na pale kuna Barrier boda hawezi kufika Reception atakushushia nje ya Geti Kuu na hata ivyo suala la utashushwa wapi ni kutokana na Ujinga upumbavu na Ufalaaa wako kutomuelekeza aliyekubeba sehem ya kushusha...
Sure mi navyofaham wakati Kiba anatoa Mac Muga bado Jose Mtambo alikua na hit song zake radio na bado alikua anapiga show inshort alikua hajapotea kiasi cha kuimbwa kwenye maudhui ya Mac Muga
Bongo nyoso unatakiwa uache watu waamini wakitakacho ivi mamlaka idanganye kifo cha mtu mmoja ktk ajali ambayo imetokea dhahiri ili iweje wakati ajali zinatokea kila mara na watu wengi wanakufa na idadi yao inatangazwa bila kificho huyo mtu ana impact gani haswa mpaka taarifa zake zifichwe sema...
Mpare mwenzio kapigwa unaanza kuhanya hanya vyeo ni nafasi na wakati uteule na utenguzi hakuna mwenye nguvu dhidi ya mamlaka akae kwa kutulia
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.