MSG chamber Squad vs SKM Gang, A game of chance

MSG chamber Squad vs SKM Gang, A game of chance

Kama Lowassa na nguvu zake zote alitulizwa na mshamba meenye mamlaka..wengine wote hawawezi kufanya lolote
Ahaa haaaah tulitishiwa na kuaminishwa kuwa vyombo vya ulinzi a usalama vina 'm-back' Lowassa. Wenye A, b, c na systems za ulinzi na usalama walielewa kuwa ni chai kwenye winter ya Siberia.
 
Hakimuvwa haki muda atatueleza ipi nyeupe ipi kijani kibichi.Washeni sigara tusubirie kwa bashasha umbea.
 
Hakimuvwa haki muda atatueleza ipi nyeupe ipi kijani kibichi.Washeni sigara tusubirie kwa bashasha umbea.
giphy.gif
 
Mpare mwenzio kapigwa unaanza kuhanya hanya vyeo ni nafasi na wakati uteule na utenguzi hakuna mwenye nguvu dhidi ya mamlaka akae kwa kutulia

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia sikia habari za mishumaa kaka kuwaka ila hakuna taarifa rasmi nin kinafichwa?
Ndio kama hivyo dada ngoja tuupe muda wakati... Tetesi zitakapokoma kila kitu kitakuwa bayana
 
Back
Top Bottom