Recent content by A.K.A.47

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    km upo halmashauri unayotoka fuatilia barua yako kwa afisa utawala.Barua zilishatumwa
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

    Dhana ya mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu inazidi kufifia. Nowadayz ht wanawake wenye kujitambua hutafuta kwa jasho lao na kuzaa kwa kusaidiwa(operesheni) bila hata uchungu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania ocd wilaya ya rungwe aibiwa

    eti 'high vampire' teh teh bado kujiita tu 'high satan'
  4. A

    JamiiForums Tanzania What did you read in 2013?

    nakubaliana na ww mkuu.ishu siyo kiingerez.ni vitabu mtu alivyosoma huyu mwacha asepe mbona ht vitabu vya kiswahili km kasoma si ashare na ss?
  5. A

    JamiiForums Tanzania What did you read in 2013?

    yeah better quit n leave intellectuals to share their knowledge.othetwise u'll just expose urself with broken e.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Faculty kwa combination ya CBA

    kuna tofauti kubwa sana mkuu.hawa div 5 wanapenda kujichanganya hawajui walisemalo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Faculty kwa combination ya CBA

    sasa mtu akijichanganya asiulize? hakuna faculty ya CBA.Alitakiwa kuuliza courses za CBA
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya siri ya kusikitisha shule ya sekondari Olasiti Arusha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza"

    if u think education is expensive try ignorance.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    hakika watumishi wataugua insomia
  10. A

    JamiiForums Tanzania What did you read in 2013?

  11. A

    JamiiForums Tanzania What did you read in 2013?

  12. A

    JamiiForums Tanzania What did you read in 2013?

    huwez kusoma economics text books km newspaper au novel. ht ungekuwa mchumi.ni title gani ya hizo economics text books ulizo somo na waandishi wake.acha kudanganya ww
  13. A

    JamiiForums Tanzania PCCB mmemwita Mburahati primary school mkaniacha mimi, daah! real its not fear.

    hahahaaa....u made my day mkuu.Nafasi mbili watu wa interview madarasa manne? hatari!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya ving'amuzi inasimamiwa na nani? Angalia hii style ya 'easy tv'

    TCRA walidai kila king'amuzi lazima kionyeshe local channels zote.Ajabu kila king'amuz wateja wake wanalalamika.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    duuu kumbe ? once a cop always a cop
Back
Top Bottom