ocd wilaya ya rungwe aibiwa

ocd wilaya ya rungwe aibiwa

kilght

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
635
Reaction score
182
usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
 
Ungetulia, halafu ukaandika taarifa kwa undani, makini na source utaeleweka!
 
Aisee sasa kamanda wa polisi ana zana zote na ulinzi juu anaibiwa je bibi yangu wa kibaigwa au nyamisati huko inakuwaje?
 
Pole zake.. .ccm wapo watarejesha vyote vilivyoibiwa awe na amani tu
 
usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
ama kweli huyo kamanda. ukistaajabu ya musa utayaona ya ..........
 
Kama upanga wa dhahabu uliibwa na tukatengeneza mwingine, tena uliibwa kwa mkuu wake wa kazi, yeye ni bastola tu?? Mwambie aende armory akachukue nyingie tu.
Pole zake. Kutokuwajibika hakutakaa kuishe mpaka ccm iondoke
 
hawakuvunja duka kweli.maana inaelekea alikua bwiii kwa pombe za bure. si ndio zao
 
Hbr toka Rungwe, hbr hzi si za kweli, ocd ameoneshwa post hii amesjangaa sana.
 
ntamaholo kumbe kashangaa nilifikili lbd kakanusha
 
Back
Top Bottom