Recent content by A JUSTMAN

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Paka wana nini jamani?

    Hehee, mwisho itakuwa nchi ya watu wasojulikana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

    Hii aibu uasherati siyo sifa nzuri.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Poleni wakuu kwa kusumbuliwa na polisi. Vita dhidi ya umaskini Tanzania yahitaji uwe real fighter kama harakati za Dr. Martin Luther King Jr.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya viongozi wa Kenya na Tanzania katika kutii maagizo ya mahakama

    Wakenya wamefunzwa kwa maumivu makali ya 2007 sasa Tanzania naona watawala nao watajifunza baada ya kupelekwa ICC. Mjinga huwa hajifunzi kitu hadi apate maumivu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nani Role model Wako?

    Hata nishambuliwe kwa risasi na wanaojiita "watu wasojulikana" damu yangu ni mwanaharakat mtupuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nani Role model Wako?

    Dr.Martin Luther King Jr. Chief Albert Luthuli Dr. James Aggrey Kwegyir.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali inatuwinda kutuua akiwemo Lema, Mbowe & Mdee. Wote tunafuatiliwa na Serikali ya kidikteta

    Andikeni summary wote tupate kufahamu aliyoongea
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika Monaco pekee ndiyo ananinjia baharini hapa yani dah
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilimpa Monaco wakuu naona kama maji ya shingo vile
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

    Hiyo itasababisha forum idharaulike sana na kukimbiwa na members, umpige ban mtu kwa kutumia tu lugha ya kejeli hii sio sawa kabisa unashauri walete umungu mtu huku? Halafu wapo wengi wana ujuzi wa vipaji vya kuzaliwa sasa hawa unawaweka kundi lipi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kinachouma zaidi ni Lissu akirudi hata ambao hawakumpenda watampenda zaidi

    Rudi darasani ukajifunze kwanza kuandika vizuri, maana kama uandishi tu ni kama hivi shida tupu utawezaje kujenga hoja?
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru awaita ' wale' majaji majambazi

    Sikumsikia huyu spika aise, sasa naona wanaojivika umungu mtu Tanzania ni wengi mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Mbowe kuwaachia akina Heche, Lema uenyekiti

    Unamaana gani unapoeleza serikali siyo ya mchezomchezo?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Mbowe kuwaachia akina Heche, Lema uenyekiti

    Inapaswa raia kwa wingi wao sasa hilo unafikiri litawezekana lini? Kwanini isingekuwa tu vizuri kumlinda kwanza huyuhuyu mmoja ili hadi hao wengine wengi wakipatikana?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Mbowe kuwaachia akina Heche, Lema uenyekiti

    Kweli ndugu, CHADEMA haikuwajibika kumlinda TL hakika kwa hili mwenyekiti amezembea sana sasa tazama maumivu makubwa anayapata TL na hata wapenda haki pia.
Back
Top Bottom