Recent content by A HUMBLE LEADER

  1. A HUMBLE LEADER

    Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Ukiwa neutral unakua mboga ya nguvu za Giza!! Huge statement!! "Nilijenga vifrem tu na kaukumbi KWA nyuma!my friend acha!!! Umewahi ambiwa una "Damu chungu na siku uchungu ukiisha tu unakwenda" Na kweli unaona kuishiwa nguvu siku hadi siku, mawazo ya kifo yanakuelemea! Nilipona hiyo!too bad!!
  2. A HUMBLE LEADER

    Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

    Kwahio ukinipata na Mimi nikakupa mchongo wa kuingiza hiyo 350000/= KWA wiki utaacha kumuombea na maombi pande HIZI !!?
  3. A HUMBLE LEADER

    Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

    Hiyo ni project NYINGINE baada ya kukamilisha ya Kwanza !!
  4. A HUMBLE LEADER

    Naomba ushauri kutokana na changamoto ninazopitia ofisini ninapofanyia kazi

    Mkuu Wewe ni wa kiroho sana au ni wale kawaida tu so wa church sana wala wa msikitini sana!!? Kama ni wa kawaida tafuta mtaalamu konki nenda kamweleze tatizo lako atakupa dawa utaoga na kuondoa hiyo kitu,yaani kuna kitu umefanyiwa ndio maana unahangaika!!! Tafuta HATA shehe wa kisomo uweke...
  5. A HUMBLE LEADER

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Unaakili wewe dah!HADI imedinda!hivi unapatikana wapi my!!?
  6. A HUMBLE LEADER

    Sina mpango wa kuoa ila natafuta house girl. Je, inawezekana?

    Kwani nikikuoa nitarajie nini toka kwako sasa!!? Baada ya penzi hutofanya domestic chores!!?
  7. A HUMBLE LEADER

    Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika

    Nitafurahi kama kesi hii iwe na back up ya dola nyuma!isije ikawa kama ni ya chadema tu ya kisiasa ccm na serikali itaichukulia kama ni kesi ya chadema na kuizimisha kiaina na kesi kuyeyuka ghafula!! Mungu ibariki Tanzania yetu hii
  8. A HUMBLE LEADER

    Nahitaji ushauri kutoka kwa Wazoefu

    ACHA ujinga mkuu! Tafuta mwanamke wa kukuzalia WATOTO na kukulelea familia Bas!! Usitafute wa kusaidiana nae MAISHA utakuja lia na kusaga meno! Tanya biashara,jenga nyumba vuta Binti mrembo mzalishe alee familia!tena asijue hata unapataje mali zako yaani awepo tu kama house girl mwenye hadhi...
  9. A HUMBLE LEADER

    Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

    We jamaa ni road trips,mzee wa adventure,mali zako zinapatikania porini! Lazima uwe jitu la mirada minne kama sio Askari wa TANAPA au gem!!?
  10. A HUMBLE LEADER

    Inawezekana Mkoa wa Ruvuma una Viongozi Waandamizi wengi Serikalini maana unamiminiwa miradi kama yote

    Ndipo kura zilipo! Ndipo kina nchimbi walipotoka na kukipigania chama ipasavyo!! Tutavuna kura za kutosha 2025! Mungu ibariki Tanzania!
  11. A HUMBLE LEADER

    Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

    Halafu sifa za jamaa zinafanana na mtoa Post!!
  12. A HUMBLE LEADER

    Wanaume tunapigwa sana kwenye watoto, tunalea watoto ambao sio wetu.

    Na hivyo kanywa na bia ndio atanasa kabisa!
  13. A HUMBLE LEADER

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    We jamaa unachekesha sana!! YAANI watu wanajiona watakatifu kuliko Daudi,yakobo n.k Hatari tupu AISEH!!
Back
Top Bottom