Watu walioko kwenye mfuko wa PPF uku wanahaha hawapewi ela zao kazi washasimamishwa/kuacha miez 6 iliyopita.
Kila siku wanatoa sababu tofauti sa hivi wanasema tusubir bunge.
Ela tuweke sisi kutoa tusubir bunge[emoji35]
nakumbuka miaka kadhaa iliyopita kuna chama kilisema hii nchi inahitaji dikteta ili nchi isonge, aya kaja baba naniiliii unaambiwa hapana uyu n dikteta anaminya............. sasa cjui mnakua mnahitaji dikteta wa aina gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mbaba ana simu kubwaaa inaitwa randrover [emoji23][emoji23][emoji23], jana kasema niiangalie kama itazma, nkaandika imei ila hawakurudisha jibu. Na leo naona analonga nayo kama kawaida.
Mkuu akati anaendelea na tiba mwananyamala anawahamasisha kina TID, chid, alipokuwa akitoka pale anarud kwenye kijiwe chake, mwisho wa siku alipasua kioo cha docta wake.
So msaada zaid ya hapo itakuwa...cjui labda kama ww utaweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.