Watu wanazidi kujitoa NSSF, kulikoni?

Watu wanazidi kujitoa NSSF, kulikoni?

Hivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao.

Je, kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa kwenye hizi state pension funds.
PPF ndo hawafai kabisa, wamesitisha fao la kujitoa kwa sababu wanazozijua wenyewe.
 
Itakuwa salio halisomi
Salio halisomi!? Hivi kuna mfuko wenye pesa zaidi ya PPF hapa Bongo!? Hivi unajua kuwa na wanachama kutoka kwenye parastal organizations kama vile BOT, TRA, TPDC na mamlaka zote nchini kunafanya mfuko upate michango mikubwa mikubwa na pia hata ukusanyaji wake wa michango sio ule wa kukimbizana kama ilivyo kwa sekta binafsi? PPF ndio leader na hii imethibitishwa hata kwenye tuzo waliyopata hivi karibuni ya kuwa mfuko bora wa hifadhi ya jamii katika kila nyanja.
 
private pensions plans zipo. ila inakuwa supplementary! na haiwezekani kutokujiunga na state pensions plans kwa kuwa ni maazimio ya ILO yaliyoundiwa sheria na nchi wanachama waliotilia sahii maazimio hayo!
 
Ukweli ni kwamba watu wengi... wanaachishwa kazi. mfano mm ni HR hapa ss tunahusika na kusafilisha magali na mizigo ndani na nje ya nchi.... tumesitisha mkataba na madereva 62 ndn ya miez mitatu hii na tunategea kuachisha wengine 27 mwezi ujao.......... Bandari imetuathiri sana kiukwl

Huu mzigo wa kuubeba ni mkuu wa kaya,tulidhani nafasi za ajira zitaongezeka kumbe ni tofauti kabisa dadeeki,kweli hapa kazi tu.
 
PPF ndo hawafai kabisa, wamesitisha fao la kujitoa kwa sababu wanazozijua wenyewe.
Ppf wapo vizuri sana! Hawafanyi project za kichwa kichwa km nssf!na sio wafujaji km wenziwe na serikali haiwakopi sana km mifuko mingine
 
Salio halisomi!? Hivi kuna mfuko wenye pesa zaidi ya PPF hapa Bongo!? Hivi unajua kuwa na wanachama kutoka kwenye parastal organizations kama vile BOT, TRA, TPDC na mamlaka zote nchini kunafanya mfuko upate michango mikubwa mikubwa na pia hata ukusanyaji wake wa michango sio ule wa kukimbizana kama ilivyo kwa sekta binafsi? PPF ndio leader na hii imethibitishwa hata kwenye tuzo waliyopata hivi karibuni ya kuwa mfuko bora wa hifadhi ya jamii katika kila nyanja.
Watu walioko kwenye mfuko wa PPF uku wanahaha hawapewi ela zao kazi washasimamishwa/kuacha miez 6 iliyopita.
Kila siku wanatoa sababu tofauti sa hivi wanasema tusubir bunge.
Ela tuweke sisi kutoa tusubir bunge
 
Ukweli ni kwamba watu wengi... wanaachishwa kazi. mfano mm ni HR hapa ss tunahusika na kusafilisha magali na mizigo ndani na nje ya nchi.... tumesitisha mkataba na madereva 62 ndn ya miez mitatu hii na tunategea kuachisha wengine 27 mwezi ujao.......... Bandari imetuathiri sana kiukwl
wewe ni Hechi ala siyo...?
 
Kuna mfuko wa hovyo kama NSSF?

Unajinasibu kuwa ni mfuko wa hifadhi ya jamii, lakini kiukweli ni hifadhi ya serikali. Inayohifadhiwa na NSSF ni serikali na sio jamii. Watu hawa wa hovyo wamepima viwanja kule Kiluvya, wakati wenzao wanawakopesha wanachama kwa dhamana ya pensheni zao, wao wanauza cash...ni serikali tu ndio inakopeshwa mabilioni kujengea madaraja.

Kule kwenye ofisi za kanda, kumejaa viUDOMized kila idara. Kama kuna jambo la kipuuzi kumwambia mwanachama ni 'MWAJIRI WAKO ALIKUWA HAWASILISHI MICHANGO', hivi watu nyinyi msio na '.....', ni nani mwenye mamlaka na sheria ya kumbana muajiri? Nini kazi ya hao wanaoitwa 'inspectors'?

Kama unataka kujiunga na mfuko, NSSF sikushauri. Hawana wanachomsaidia mdau wao, wao ni kujenga maghorofa na kuikopesha serikali.
 
Unamuachisha kazi mfanyakazi, unategemea wataishije huko mtaani?
Lazima wakachukue chao wakaanzie maisha.
 
Mifugo mingi ya hifadhi ya Jamii Hali siyo nzuri kwa sasa.Kufuatia Serikali kuruhusu Wanachama Kupewa mchango yao kàbla ya kufika umri wa 55 au 60; Hali imeandikwa kuwa tete.Nimeshakuwa kwenye Mfuko wa ppf,nssf na sasa lapf.Hadithi zinafanana.Ingawa ukienda kwenye mkutano ya mwaka ya Mifugo hii utapewa machart Kikao ya kujiandikisha kwamba Hali ni shwari,kiukweli Hali siyo shwari.Mifuko mingi imeikopesha serikali fedha nyingi.Na serikali ni Mmoja wa wadaiwa,hivyo inapochelewa kulipa,impact yake inakuja hadi kwa Wanachama.Pia Investments nyingi za mifuko hii haina tija.Angalieni majumba mengi ya Makazi na ofisi,kwa sasa hayalipi.Kama serikali itahamia Dom,hapo Yale majumba ya pspf,gepf,nssf,lapf nk yatakuwa white elephants.
Soon or later usishangae kuambiwa Miaka ya kustaafu iwe 65 au 70.Waulize Wagriki au Wazungu,kwa nini wanastaafu at 70!
 
Back
Top Bottom