Recent content by _rolex

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wale wa hesabu; Kwanini 2x1 iwe 2 na 2x0 iwe 0?

    2×1 maana yake 2 zikiwa moja unapata ngap.. Then hivyo hivyo 2×0 maana yake 2 zikiwa sifuri unapata ngapi?? usipende kufikiria kivivu namn hyo kila kitu kina sabab zake havikuwekwa tuu..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    Ok kidogo nimekusoma japo nilihitaji ufumbuzi zaidi juu ya hili suala
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ni kitu gani mzee.. Nmekielewa sanaa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiama Youtube

    Nics
  5. R

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Bado kuna vingi sana vya kuvifahamu
  6. R

    JamiiForums Tanzania BackUp ya picha zilizofutwa na Antivirus App kwenye simu

    Wakuu, Naomba kufahamu ivi naweza nikafanya backup ya picha zilizofutika kwenye simu ambazo zikuzisave "Google drive"??? Hakuna namna yoyote ya kufanya manuva?? Ni hilo tu kama wafahamu naomba unijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Usingizi.

    OK, thanks xana.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Usingizi.

    Kama kichwa kinavyojieleza, yeyote anayefahamu dawa ya kumfanya binadamu apate usingizi naomba anfahamishe.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tecno camon C9 inauzwa

    Nko mkoani, kama business hapo tunaifanyaje?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tecno camon C9 inauzwa

    VP kuhus wallanty na risiti? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tecno camon C9 inauzwa

    180k Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tecno camon C9 inauzwa

    Nahitaji hyo BT punguza bei, tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tupeana mbinu ni story zako zipi huwa zinamtekaga akili "my love" wako??

    Hahahahaaa hii noma kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tupeana mbinu ni story zako zipi huwa zinamtekaga akili "my love" wako??

    Kuna tym mind unahtaj kurelax, na kufny mamb unaowez kukufany ukaenjoy Sent using Jamii Forums mobile app
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tupeana mbinu ni story zako zipi huwa zinamtekaga akili "my love" wako??

    Nna rafiki wangu wa kike, Mara nying huwa anapenda kuwa karibu na mie, kunipigia simu na text za mara kwa Mara.. Bt nmegundua mara nyingi nkiwa nae huwa nakuwa kama sina "swaggz" na naishiwa "poz".. Bt kikubwa ni kwamba mara nyingi huwa nakosa story na vitu vizur vya kumwambia vya kumvutia...
Back
Top Bottom