Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia.
Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na umuhimu kwa baadhi ya watu, si lazima iwe kigezo pekee.
Mambo mengine kama vile tabia, maadili...
Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?.
Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu.
Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe.
Haya sasa Mwezi...
Wadau wa jamii naomba kujua hili,
Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?
Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
Hivi sijui ni mimi tu au kwa wanawake wote? Kwa karne ya sasa tutaolewa kweli au tutaishia kuwa Mababy mama tu?
Siku hizi mambo yamekuwa mengi sana kiasi kwamba mtu akikwambia anakupenda unaona kama scam fulani hivi na hii ni kutokana na matukio tunayopigwa wanawake jamani? Au ni huu mji wa Dar...
Usiku wa deni haukawii kuisha. Hatimaye leo Yanga uso kwa uso na Bamako. Mara ya mwisho Yanga alilazimishwa draw dakika za jioni kusababisha kijikeka kuchanika.
Je, leo nimpe Yanga au Bamako? Ni wapi wana odds babkubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.