Habari za wakati huu waungwana
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza uongozi na timu nzima ya Jamii forum kwa kutupatia tena nafasi ya kuandika juu ya mambo mbalimbali juu ya jamii yetu na taifa letu kwa ujumla.
Nikiwa kama mwana JF pia Mtanzania napenda kuchukua wasaa huu...
Mkuu,naomba kujua
Ikiwa Dunia hapo mwanzo ilikua maji then baadae ndiyo kukajitenga kama tuonavyo milima,ardhi n.k
Binadamu walitokea wapi?
Walikuja baada ya maji kujitenga na kuona atmosphere hii ya sasa naamini
Je walitokea wapi na nani aliwaleta
Na kwa nini leo tupo weusi na weupe...
Kwanza hujasoma andiko la BBT
Pili vijana wanaanza kupewa mafunzo ya kilimo,tayari mafunzo yanaendelea kwa vituo 15
Mwisho kijana atawezeshwa yafuatayo baada ya mafunzo
1.Shamba(likiwa tayari kwa kilimo cha kisasa na miundombinu)
2.Mtaji wa kulima kwa kuwezeshwa mahitaji yote
3.Soko kwa maana...
Kila mtu ashinde mechi zake mkuu....kwa taarifa yako bei ya gunia 1 la viazi kwa sasa kwa bei ya Geita ni 150,000/=
Unataka wakulima woote walime mahindi?
Habari za muda huu wana jukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.
Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini kata ya Nyalwanzaja.
Shamba lipo barabarani usafirishaji ni qa uhakika.
Viazi vimepandwa katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.