Recent content by 4realy

  1. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi za ndani na maswahibu yao makazini

    Sie tumelelewa kibabe bila hg..nimejua heka heka zao baada ya kua na watoto
  2. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka

    U Better be harted by truth rather than being conforted by lies..akili kichwan mwako..pole mwaya
  3. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa kitanda ni sababu mojawapo ya ndoa kuvunjika

    Inakaukwel kidogo..lkn Kikizidi udogo hamkawii kuanguka wkt wa mgegedo..kikubwa najiachia kwa raha zangu
  4. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nimpendae ni "lesbian". Je, nimuache?

    Jaman mambo mengine hata hayaitaji ushauri..sasa c uko na mwanaume mwenzio au nsemeje..
  5. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nimpendae ni "lesbian". Je, nimuache?

    ha haaaa! Dawa ya moto ni moto.
  6. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

    Shetani akizeeka anakua malaika..sa zote unahic kuibiwa ibiwa tu hata km huibiwi...tafta unaye endana naye ucjepata ugonjwa wa moyo bure..
  7. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake na mitazamo yetu kwenye mahusiano: kwa wanawake tuuu!!!

    Hongera mwaya..wakubadilika tutabadilika..lakini skio la kufa haliskii dawa..
  8. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nenda kaka,hukunipa nafasi niliyostahili

    Mtumie msg mwambie nenda mwana kwenda usie jua kwenda..utapata mwingine ucjali
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Natafta kazi ...

    Habari wanajukwaa..nina diploma in Early Childhood Education(ECD) natafta kaz ya ualimu katika shule,center,naweza pia kutunza watoto katika Day care au katika Ophanage yeyote.kwa anayenihitaji nipo tayari..naishi moshi
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

    Hah!cjui hamjazoeana..mh! Me hua nashutua mpaka mume wangu amejizoelea imekua part of our fan.mpaka ametungia jina anaita vishuto ...hahaaaa very fun
  11. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jamani nyie wanaume

    Dah! Mbona kakupa makavu ivo spati picha umeumiaje polee.. Ndo shida ya "njoo tu ishi" amekukinai uyo atakua ameona mpungufu ambayo hatawezana nayo.. Lakin ajue hakuna aliyekamilika..tupa kule songa mbele
  12. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani mungu angenibadilisha niwe mwanaume

    Ni namna yakutaka kukwepa majukumu..mume wake akitoka job kila kitu anaagiza afanyiwe nakuletewa sasa yeye hataki kuhudumia mume anahisi ni utumwa. kwa akili yake ndogo akahic soln nikua mwanaume kumbe swala nikujikubali tu.. Na maisha yanasonga mbele. Am proud being a woman
  13. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani mungu angenibadilisha niwe mwanaume

    hili nalo neno..hebu ajiulize kwanza
  14. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"

    Mh.!nilishamuulizaga mume wangu hilo swal akanijib nisiri yake hawez niambia naeza ongeza doido nkaharibu mh
  15. 4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MAONI : Ni sahihi kumtuma dem wako salama....

    Akaah..Me siendi.. Nkifika shop ntaanzaje nkikuta watu ndo kabisa ntanunua chumvi...
Back
Top Bottom