Damu haiuzwi mkuu... Cha msingi andaa watu wa kufanya replacement ya units atakazopewa mgonjwa wako. Hospital Ina wajibu wa kukutafutia damu kwa ajili ya mgonjwa wako nawe pia una wajibu wa kutafuta watu wa kufanya replacement na kwa kawaida unit Moja ya damu salama inahitaji replacement kuanzia...
Wazoefu wa ajira portal naombeni msaada. kipindi cha nyuma nilifunguaga account na kwenye academic qualifications nika upload vyeti ambavyo sio certified na wakili. Nilifanya hivyo mara mbili na vyote vinaonekana kwenye mfumo. Changamoto ni saiv ambapo nataka ku upload certified certificate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.