Recent content by 365

 1. 3

  Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

  Hapo kuna vitu vingi, Sheli nyingi zinauza mafuta machafu,kuna sheli nilikua naweka mafuta then taa ya check engine inawaka,ikabidi niachane na hicho kituo na ninawaambia na watu wengine wasiende hapo,just imagine ni kituo chako huoni umepoteza wateja wengi? Ushauli wangu ni uweke box la...
 2. 3

  Maduka ya wahindi yachomwa Kinshasa

  Na vile nawafahamu wakongo lazima walete vurugu za hatari
 3. 3

  Natafuta vipimo vya asali

  Kuna jamaa anauza
 4. 3

  Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

  Uko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
 5. 3

  App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

  Siyo matapeli kabisa,mimi nililipa hiyo hela kwa bahati mbaya,nikaomba wairudishe,wakairudisha ndani ya saa 24 tu,makazi yao makuu ni california, Sent using Jamii Forums mobile app
 6. 3

  Msaada naomba kujua jambo hili kuhusu kubadili Dola

  Uko dar? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. 3

  Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

  Mimi nakushauri uendeleze biashara aliyokua anafanya mzazi wako, Sent using Jamii Forums mobile app
 8. 3

  Msaada: Namna ya kufuga samaki

  Weka link ya group lako hapa tujiunge moja kwa moja Sent using Jamii Forums mobile app
 9. 3

  Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

  Vijana wengi wa Kigoma kwa sasa wako China. Hili tatizo liko kwa Wakinga pia
 10. 3

  Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

  Inawezekana,wabongo siyo wezi kiasi hiki jamani,
 11. 3

  Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

  Ha ha ha ha ha,lakini jamani tunaweza jaribu,unajua wabongo nao ni waoga vile vile,wakifungwa hata wawili kwa kosa la kuchoma bike hamna atakayerudia
 12. 3

  Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

  Ndugu Patigoo,kuna biashara Fulani ya docless bike sharing,Tanzania haipo na ila kwa china,thailand na nchi nyingine za Ulaya imeshamiri,Hii biashara ilianzia china,then ikasambaa,walioanzisha china ni mabilionaire wakubwa!! Kiufupi hizi ni baiskeli ambazo ni za kukodisha ila mteja anaichukua...
 13. 3

  RIPOTI: Gaddafi aliuawa kimakosa

  Gaddaffi alipata anachostahili!! Nchi ile kwanza ilijaa ukabila,yaani kama wewe siyo bedui ambalo ndo kabila lake sahau kuhusu keki ya taifa!! Mwisho kabisa akajifanya kama Mungu wa Libya!! yaani yeye ndo ana akili kuliko wote!! Kama ambavyo yeye mwenyewe aliingia kwa mpindua aliyekuwepo tena...
 14. 3

  Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

  Total engine oil 5w30 wanauza 12000 kwa Kita moja pale fuel station mlimani city.
 15. 3

  Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

  Dunia sasa huwezi jivunia vita za chini kwasababu ya technolojia,nina imani kubwa sana kuwa JWTZ sasa inatisha kila sekta,iwe juu au chini,majini au jangwani
Top Bottom