Recent content by 2QQ

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Ni halali kushare nguo na mpenzi wako?

    Umeona, kunamambo yako indirect hawayaoni ila wanakomaa na direct wakat uzito ni ule ule.
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Ni halali kushare nguo na mpenzi wako?

    Ujinga ni kujitoa ufaham kukiss mnakis direct mouth contact (denda) alaf mswaki unasema haiwezekani maajabu ya dunia.
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Eva aliongea mengi na Shetani, sisi tukaambulia tu kulishwa tunda

    Dah! Ila ukiconect dot kati ya Shetan na ushawishi wake kwa Eva kimazingira na mtoto Abel na jina la kizazi cha nyoka kuna jambo fikilishi ndani yake absolutely.
  4. 2

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Teteeeh! Ok kumbeee ndio manaa! Mkuu umemaliza! Saluti kwako!
  5. 2

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Asee yani tulistahili kuwa kwenye sayari yetu tuendeleze vimbwanga tu.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Huyu ni mtu waliyedai ni miongoni mwa watuhumiwa na kwa uhalisia huyu anatoa direction na tarifa za hukaki anahtaji ungalizi makini ili azidi kutoa habari zaidi tukubali huu ni uzembe rejea tukio lingine la mwanza ambapo mtuhumiwa anawaelekeza askali alafu akawatoroka ,tatizo ni weledi ndo mdogo.
  7. 2

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Naam tuko pamoja. Ila kinacho nishangaza ni hiki kilichoteke inadhihilisha usiriasi haupo kwenye hili swala, pia watahakikishaje usalama wa raia atakayetoa taarifa?
  8. 2

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Mkuu swala ni kivipi mtuhumiwa wa inshu nzito iliyo garimu maisha ya watu waka muacha bila bingu na minyororo ya migu au alikuwa bubu so anatoa maelezo kwa ishara za mikono?
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Mkuu sio plastic ila ni matokeo ya GM Food (genetic modified food )hii na sayansi inahusu kupandikiza DNA katika mimea hata wanyama kwa malengo ya kibiashara au kucontrol magonjwa.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Sidhani plastic as plastic labda tumbo la chuma linalotumia direct flem ili kuyeyusha sio enzymes.
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Utashi wa kufatilia mambo wabongo huwa hawana ila kwa hulisia hakuna digestion ya plastic kwa mnyama yeyote na kuhusu clip mbona ni ya zaman sana nimeiona 2016 so leo hii ndo wanaiona kwnye magroup upuuzi mtupu.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inahusika katika utekaji nyara na kupotea kwa raia kunakoendelea nchini?

    Tuache kupepesa watu wanao tekwa kwa kiwango kikikubwa utakuta wanatoa kauli au misimamo inayokinzana na serikali au tarifara zinazo wagusa viongoz serikalini. Rejea waliotekwa kama Ulimboka, ....
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

    Ujinga umekujaa mpaka umepitiliza hii inchi inastahili kuongozwa na mtanzania mweny sifa ya kuwa kiongz.
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Mkuu hayo unadhani ni mahapa ni upumbavu ndo umemjaa kichwani
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Mkuu achana nae huyo siunajua kadri mtu anavyo zeeka na uwezo wakufikilia unapungua.
Back
Top Bottom