ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
Mswaki hapana, hilo analijua kabisa.. Tisheti, kaptula, soksi na boksa ni ruksa yeye kutumia..
Ulitaka niwe na naniEeeh!
Kwan upo na mmeoo
Vitu vingine vya ajabu kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hasa boxersAcha utani mkuu, hata boxers??[emoji23]
Hayo ndio maajabuUjinga ni kujitoa ufaham kukiss mnakis direct mouth contact (denda) alaf mswaki unasema haiwezekani maajabu ya dunia.
Umeona, kunamambo yako indirect hawayaoni ila wanakomaa na direct wakat uzito ni ule ule.Hayo ndio maajabu
Boksi huvai?T-shirts, sandals, socks na jackets navaa
[emoji23]ndioo sivaiBoksi huvai?
Sawa my[emoji23]ndioo sivai
mleta mada ulishawahi kufanya hii kitu....tuanze na wewe kwanzawengine hufikia hatua ya kuchangia pichuu! "ukivaa BOXER yangu na vaa KIBINI yako"