Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,058
Penye moshi Pana au palikuwa na moto.Mkuu je umewahi kuununua au kuula popote au zingali tetesi?
Wasiwasi Ndio akili
Penye moshi Pana au palikuwa na moto.Mkuu je umewahi kuununua au kuula popote au zingali tetesi?
Wanataka kutuletea yaleyale ya babu wa Loliondo! Ili twende kwenye mchele wa plastic tusahau makinikia sijui makinimikia!!?Aisee ndugu samahani
Unajua bei ya raw material ya plastic? Na mashine ya molding au extruder ? Na kuziendesha hizo mashine ?
Bei ya huo mchele utakua ni mara 2 au 3 ya bei ya mchele wa kawaida.
umewahi kuona kabechi(kabichi) zilizo tengenezwa kwa mikono ya mwanadamu na zinalika tu vizuri ila ukichukua jani lake na kulichoma linageuka kuwa kama kitambaa fulani?Utashi wa kufatilia mambo wabongo huwa hawana ila kwa hulisia hakuna digestion ya plastic kwa mnyama yeyote na kuhusu clip mbona ni ya zaman sana nimeiona 2016 so leo hii ndo wanaiona kwnye magroup upuuzi mtupu.
Utashi wa kufatilia mambo wabongo huwa hawana ila kwa hulisia hakuna digestion ya plastic kwa mnyama yeyote na kuhusu clip mbona ni ya zaman sana nimeiona 2016 so leo hii ndo wanaiona kwnye magroup upuuzi mtupu.
Huwezi kuizungumzia sayansi kwa akili timamu na issue za kuamini tu!Sayansi ni kanuni zinazohitaji akili ya ziada kuzizungumzia na siyo akili timamu pekee!Kwa akili zangu timamu kama mwanamke mpishi siamini kama kuna mchele wa plastic,
Kwa sababu Plastic ikikutana na moto inayeyuka
Inakuaje huo mchele wa plastic usiyeyuke wakati unapikwa??
Pia unawezaje mwanaadamu ukatafuna plastic mpaka ikasagika ukameza?!
Penye moshi Pana au palikuwa na moto.
Wasiwasi Ndio akili
WANAOULA WANAMEZA BILA KUTAFUTA KWA MAANA WANA MATUMBO MANNE!!!Kwa akili zangu timamu kama mwanamke mpishi siamini kama kuna mchele wa plastic,
Kwa sababu Plastic ikikutana na moto inayeyuka
Inakuaje huo mchele wa plastic usiyeyuke wakati unapikwa??
Pia unawezaje mwanaadamu ukatafuna plastic mpaka ikasagika ukameza?!
Huwezi kuizungumzia sayansi kwa akili timamu na issue za kuamini tu!Sayansi ni kanuni zinazohitaji akili ya ziada kuzizungumzia na siyo akili timamu pekee!
WANAOULA WANAMEZA BILA KUTAFUTA KWA MAANA WANA MATUMBO MANNE!!!
njia rahisi ambayo ingefaa kushawishi watu wasile mchele wa China na Thailand ni kulima mpunga kwa wingi hapa kwetu bei ishuke lakini hii ya nyimbo mchele wa plastic kesho itakuwa mchele wa mbao nk haitusaidii kitu tunaimbishwa nyimbo za wafanyabiashara wanaoshindana sokoni! Ndio maana nimemhoji mtoa mada kama alishaula ama kuuona hajanipa jibu mpaka sasa ila anabadili mikao tuKwahiyo kwa akili ya ziada kuna plastic ambayo haiyeyuki na inatafunika?
Mkuu sio plastic ila ni matokeo ya GM Food (genetic modified food )hii na sayansi inahusu kupandikiza DNA katika mimea hata wanyama kwa malengo ya kibiashara au kucontrol magonjwa.umewahi kuona kabechi(kabichi) zilizo tengenezwa kwa mikono ya mwanadamu na zinalika tu vizuri ila ukichukua jani lake na kulichoma linageuka kuwa kama kitambaa fulani?