Recent content by 2po_pamoja

  1. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

    ha! kwani naona ajabu yeye kukojoa?? utaomba dunia ipasuke uzame ndani siku ukimuomba halafu akakataa Wacha mawazo machafu Kama unataka kujidalilisha , jaribu kumuomba halafu akikataa u
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vitabu vya zamani

    Umesahau hadithi za Mpiga filimbi wa Harmelin, Mfalme Huihui katika nchi ya wagagagigikoko, Bulicheka na Lizabeta, Mfalme Majinun, Roza na Paulo ana mkono michafu, KALUMEKENGE ALIYEKATAA KWENDA SHULE!! Yaani ilikuwa raha tupu
  3. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why should I get married?

    Kuoa raha sana!! > Unapata mtu wa karibu nawe unampenda na anakupenda (From the deepest part of your soul) anakujali unamjali, unamkumbatia anakukumbatia, unamfariji anakufariji na juu ya yote mnaingia kwenye deep intimacy companionship. > Baadaye mwaweza kujaaliwa watoto wazuri. Mnawaangalia...
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Freeman Aikael mbowe

    Kama wao wanapiga mabilioni basi Ngoja na mie nikawe wakala wa kusimamia kura ili NIPIGE MAHELA ! >HapaPesaTu<
  5. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu nisamehe, nimekula kuku na mayai yake

    We subiri tu. Mkeo akifikisha 50s na binti yako yuko chuo halafu atatokea kijana mmoja atawatafuna wote na ww utajua MALIPO HAHA HAPA DUNIANI
  6. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Last month (minus) One week = 3 weeks 3 weeks (minus) Tuesday (is approximatelly = 1 week) = 2 weeks Therefore 2 weeks = 7 days (times) 2 = 14 days 14 days umezini mara 8 = SIKU 6 TU NDO HUKUZINI !!!!!! Labda ibilisi kaweka maskani ya kudumu siyo mpitaji tu hiyo ndo habari ya mujini na hao...
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    Utashangaa pale hao wenye rangi nyekundu wakawa wanajitambua na wanayo mawazo yao kwenye kibox cha kupigiakura halafu wakampigia usiyemtaka. Afadhali ujiandae kisaikolojia AMA MGOMBEA WAKO AKIPATA AU AKIKOSA
  8. 2

    JamiiForums Tanzania USHAURI: UKAWA watumie neno hili ktk kuhamasisha kulinda kura!

    Hivi, LOW naye atakaa pale kulinda kura??? Au pengine aweza kuwatumia wengine tu??
  9. 2

    JamiiForums Tanzania UKAWA, Hamjagundua waliohama kutoka CCM ni watu watano tu?

    Baada ya tarehe 25 Oct 2015, kuna mgombea wa urais atawashangaa wapiga kura wa Tanzania pale watakapomshangaa ilhari kila aendapo anapata mapokezi makubwa ya kumsanifu!!!
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi, atambulisha kampeni ya Amani kuelekea uchaguzi Mkuu

    Hii nyekundu imekaa kishari shari vile??? Sina hakika kama nchi yangu nzuri Tanzania inahitaji mambo ya kisharishari!!!
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Roho yangu Imetulia, Ni John Pombe Magufuli kwa awamu ya tano

    >>HapaKaziTu<<
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!

    Wawezaje kukanusha ukweli usiojificha????
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi, atambulisha kampeni ya Amani kuelekea uchaguzi Mkuu

    Sheria inakataza wazo lako Nakushauri utii Sheria bila shuruti Vinginevyo Jiandae na kuozea Segerea Wakati wenzio wanakula bata uraiani
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    KUMBUKA ; Nafasi za ma RC na ma DC zipo kwa mujibu wa sheria na kama Rais ataapa kuilinda na kuiheshimu Katiba na sheria zake analazimika kuwateua. Siyo utashi binafsi wa Rais. Akikaidi maanake atakuwa akikiuka Katiba
  15. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

    Baki njia kuu Michwpuko ya nini???
Back
Top Bottom