tukunyemamzee
Member
- Feb 20, 2014
- 90
- 72
Kaazi Kweli kweli
Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."
waziri gani mkuu au nanii?
Mimi ni kijana wa makamo. Nimeajiriwa na bosi wangu ambaye ni waziri katika wizara fulani hapa Tanzania kwa kazi ya kuendesha magari ya nyumbani likiwepo lile la mke wa bosi ili kumpeleka atakaponiamuru ikiwa ni kwenda na kurudi ofisini, salon, kutembelea jamaa zake na kwingineko.
Huyu mama namheshimu kama bosi wangu, ndiye aliyependekeza jina langu kwa mumewe baada ya kukutana katika kikao cha harusi fulani pale Msimbazi Centre.
Ni mzuri wa sura na umbo, mkarimu na mcheshi mama wa watoto wanne. Jambo linalonitatiza ni tabia mpya za huyu bosi (mama) tutokapo ataniuliza "unanionaje nimependeza ee?
Siku nyingine hunipa zawadi ndogondogo, tunaporudi nyumbani usiku ashikwapo na haja huniambia "naomba nikakojoee" mara atachutama na kukojoa mbele yangu (mwenzenu naugulia moyoni) ananiuliza "mbona unakua mwoga"?
Mwili wangu unachemka akili zinashuka mara nakumbuka bosi amesafiri kikazi, namkumbuka mke wangu narudi nyuma. Maisha yamenibana, kazi naipenda. Niache kazi nipate kazi kuitafuta kazi. Nampenda mke wangu.
karibu tena kuchukua ushuri mwingineMiss chagga asante kwa ushauri.

ushauri mzuri sana,,,chameleon chukua na ufanyie kaziNakushauri huyo mama usimkubalie ombi lake. Wewe unyesha msimamo wako huku pia ukionyesha heshima kwao( mume na mke)
Pili, wakati anajitongozesha kwako mrekodi kwenye simu yako pasipo yeye. kujua ili ikitokea siku amekuchongea kwa mumewe kuwa unamtaka kinguvu , hizo video ulizomrekodi ndio zitakazokuokoa. Na huyo mume atakuamini na hata kukutafutia kazi sehemu nyingine ataweza.
Are you Capt Nemo?You sound like him....