Recent content by 2kimo

  1. 2

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kama mtu hafuati misingi ya sheria huyo hawezi kutukuka hata kidogo.. Hitler amefanya mengi kwa Germans ... Pol Pot amewasaidia Cambodia Amin na Uganda Lkn hawana uzuri wowote kwa kuwa hawakuongoza kwa misingi ya sheria. Paul anakiuka sana taratibu, amekuwa akiufanya mji kama shamba lake, na...
  2. 2

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    We kwanini unamfanyia uchochezi makamu wa raisi? Je unaowatetea wanajua kuwa wewe unamshutumu makamu? Je wapo nyuma yako?
  3. 2

    Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Unazungumzia 16 years old... Ni indecent exposure kwa minor, as a brother he has right to protect Huyu innocent kid. Jamaa wanakosa audacity to act, Kwanza wenyewe wameajiri mtoto (minor) ambalo ni Kosa kisheria, lkn hawawezi hata kumprotect. Ila worse enough huyo binti ananunuaje CD za porno...
  4. 2

    Ladies tafadhali mtuvumilie mpaka tumalize

    Talk to your lady baada ya sex. Uliza kitu gani uboreshe, Anza kwa kuelezea wewe what you like the most then atafunguka. Ukwa kujaribu unaweza kujua Mambo mengi anayoyapenda partner wako, si kwa kelele anazopiga, Ila kwa jinsi anavyorespond kwenye sex au foreplay... Mwili unaelezea mengi kuliko...
  5. 2

    Wanaume nijibuni..

    Issue yako ni ngumu. Wanaume huwa wanahitaji sex more than anything. Na Hapo tutahitaji kila aina ya mwanamke, tako kidogo, namba 8, mwembamba etc. Na ni curiosity ya kawaida tu kama wewe kwenye buffet kisha ukawa ba misosi mingi, ofkoz choices zako zitakuwa very broad. Lkn inapokuja kuchagua...
  6. 2

    Ladies tafadhali mtuvumilie mpaka tumalize

    Nadhani wanahitaji kukua ili kuyajua hayo. Often wageni wa game huwa wanadhani ukimchosha mdada ndio utaheshimika, in fact hakuna hilo. Wanawake wanapenda sex ya taraaatiibu na constant pressure Ila sio pumping ya ugomvi. Smooth sex kama ukimuandaa vema au with assistance ya lubricants huwa...
  7. 2

    Ladies tafadhali mtuvumilie mpaka tumalize

    Huu uchizi. Sasa mwenzio kasema anaumia we kwanini uendelee kumuumiza? Kuna ujinga kwa baadhi ya wanaume (sijui wavulana) wanadhani mwanamke akiumia ndio wanajua sex. What we need ni kuwafanya waenjoy sex na sio to inflict pain. Mwanamke anapoinama (coming from behind, mbuzi kagoma) hasa akiweka...
  8. 2

    Kwanini hayati Baba wa taifa alikubali mfumo wa vyama vingi licha ya wengi kukataa?

    Hakuna record zinazoonesha Nyerere alitaka vyama vingi. Record yake ni kufuta vyama vingi... Sasa swali lako, libadilishe na kusema" Kwanini Raisi Mwinyi aliruhusu vyama vingi pamoja na 80% ya watanzania kukataa?"
  9. 2

    Lissu hit the bull's eye - acheni porojo

    Ungeweza tu kusema bila ya kutumia lugha za kukera na ungeeleweka. Nadhani Moja ya vitu vinavyoiharibia JF heshima yake ni haya matumizi ya lugha za kejeli, matusi au zile zenye kukera. Point yako ni very valid, lkn unawezekana wasomaji Wengi wakaiachia njiani. Hili jukwaa linapaswa kusimama...
  10. 2

    Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    Singh ni mtuhumiwa. Mnacheka leo sababu mnamuona muhindi, Hii abuse of power ikiwa ndio utamaduni tutalia wote. Zimbabwe walidhani Mugabe was after wazungu tu, kumbe ni yeyote waliyehisi si miongoni mwao na hata waliokuwa nao pia waliojichanganya waliumizwa.
  11. 2

    Lissu hit the bull's eye - acheni porojo

    Kwa hiyo ni sawa na debate club? Kuna sababu ya kujiuliza kwanini tunapanga misululu mirefu siku za uchaguzi! Anyway hata nje ya bunge shinikizo lifocus kwenye mabadiliko hayo na sio na kuwa vague Hadi watu hawajui wanataka nini!
  12. 2

    Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    Mshitakiwa kunyimwa haki ni jambo baya sana kwa ustawi wa taifa. Kuna shida gani kwa mtuhumiwa kupelekwa muhimbili?
  13. 2

    Lissu hit the bull's eye - acheni porojo

    Lissu, TLS, UKAWA na allies wanajizungusha sana kuelezea ukweli na ndio imekuwa tatizo kubwa sana kwetu. Hawa jamaa na nyimbo zao za katiba mpya, muda wote wanaodai katiba mpya lkn ndani ya nafsi wanataka vitu viwili 2. Tume huru ya uchaguzi Matokeo ya uraisi kuweza kupingwa mahakamani Sasa...
  14. 2

    Ukweli kuhusu bomoa bomoa ya Kimara hadi Kiluvya

    Unahamisha goli 1000 digits Issue sio CCM, hapa tunawazungumzia watawala wa awamu ya 5. Katika awamu 2 zilizopita ujenzi wa barabara na madaraja, viwanja vya ndege etc ulifanyika kwa kiwango kikubwa sana. WaPo watu walioumizwa lkn Wengi either walifidiwa na hata wale ambao hawakua na haki bado...
Back
Top Bottom