Recent content by 2game

  1. 2game

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. 2game

    Underground wa rap hawajaliwi

    Amin kk yani mtu unastay real ila akikurupuka kutoka akishakutana na mainstream tuuu janga
  3. 2game

    Underground wa rap hawajaliwi

    Wana jf niajeee hv naomba kuchukua muda wako kidogo kwann muziki wa hip hop haupewi kipaumbele bongo hasa kwa wasanii underground alafu unakuta ukiforce kupata airtime ya ngoma zako unakuta wanakushauri utoke kwenye uhalisia Ni kwann hip hop haichukuliwi umakin km miziki mingine
  4. 2game

    Msaada wa kozi gani nisomee

    Au sio bro nmekusoma kk ngoja nitulize kichwa kwanza Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  5. 2game

    Mimi wangu nilimwacha hivi wewe je?

    Hahahahaa kakojoe ukalale ww Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  6. 2game

    Msaada wa kozi gani nisomee

    haya bro bc niseme sikureach my goals plans ila nitafanya kadri niwezavyo nikamilishe ndoto zang in other way thanks man
  7. 2game

    Msaada wa kozi gani nisomee

    ahsante mkuu lkn nikurekebishe kidogo si kwamba sina ndoto au sikua na ndoto nlikua nazo ila zimefeli sina budi kutafta plan B mzee au ulitaka nikae kizembe
  8. 2game

    Msaada wa kozi gani nisomee

    ahsante kk so hyo kimtindo itafit mzee na application za pale zinakuaje mkuu
  9. 2game

    Msaada wa kozi gani nisomee

    Habari za muda huu ndugu zangu me mgeni kwenye jamvi na kijana mdogo nmemaliza kidato cha 4 mwaka 2015. Sasa je nsomee kozi gani itayofit alama zangu D 3 za Kiswahili,Biology,Civics masomo mengine yote F alafu nilisomea arts. Msaada wana jamvi
Back
Top Bottom