Recent content by 2eyes

  1. 2

    Mchechu wa NHC aundiwa zengwe

    Kitu usichokijua ni sawa na usiku wa kiza
  2. 2

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Tatizo letu huwa tunakurupuka tu. Watu hawafanyi uchambuzi inapotkea mada yenye mguso wa aina hii. Kwanza mtu angejiuliza kwa nini anauliza hivyo? ameyatoa wapi? Je kuna ukweli? ni kiasi gani?...n.k alafu unajibu kwa uelewa na uchambuzi ulioufanya. Hili ni fukuto ambalo watanzania licha ya...
  3. 2

    hivi kweli ipo siku nitamchoka mke/mume wangu wa ndoa, ipo kweli???

    Mtoa mada una ndugu? kaka, dada n.k. Je hao mara nyinine huwachoki?... hamgombani?...mnavumiliana kwa sababu ni ndugu na huna hujanja. Sasa mtu umekutana naye ukiwa mtu mzima anatabia zake na wewe zako. Usipokuwa mwangalifu utagombana mapema sana. Ndoa za siku hizi ni za fasta fasta mtu hujamjua...
  4. 2

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Budget yako ikoje ya ujenzi wa nyumba alafu ushauriwe... maana nyumba kama hii unaweza jengo kuanzia 80m (swahili type) au unataka ujenge nyumba ya aina gani. Ndoto yako ya nyumba ikoje? ukubwa wa vyumba... vyumba vyote viwe na vyoo/bafu au bafu na choo kimoja kwa nyumba nzima? utatumia vifaa...
  5. 2

    Why blacks?

    Adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe wala si wazungu. ukisimama sawa hakuna atakayekudharau hata kidogo. Tunajidharau wenyewe ndiyo maana tunadharaulika. Hatuthamini tulivyo na tulivyonavyo ambayo hao wazungu wangeweza wangesema tubadilishane. Tupo masikini mioyoni mwetu, Hivyo umasikini...
  6. 2

    Hamna kitu ninachopenda kukifanya kwa mwanamke kama kumhonga

    :tape: haahahahaa! Wanaohonga hawasemi!
  7. 2

    Hakuna kitu kibaya kama kushare mwanamke mtaani

    Magonjwa mengi yanafanana na ukimwi.. mfano canser ya mifupa, damu na mengine mengi ambayo humaliza kinga mwilini. haswaa usipojulikana mapema... mtu hudhoofu sana maumivu makali hata ale nini. Ni vyema kujua kama alipimwa na akakutwa nao.
  8. 2

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Toa hoja ya kumshawishi aendelee kutetea. Ikumbukwe hapa kinachowasumbua watz ni mambo yanayoendelea nchini ambayo yanasababisha vifo vingi vya watz kizembezembe na watu kuchukua mambo kijuujuu tu Huku mkisisitiza chuki binafsi lazima tufike mahali tuchukie majanga yanayoua ndugu zetu na tusipo...
  9. 2

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Tunaomba utupe indicators zinazokufanya useme NHC ilikuwa inakufa au ilishakufa kabla ya NKM. Unapotoa hoja Kama hiyo lazima uwe na evidence za kutosha
  10. 2

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Miaka mitano ni mingi sana katika kufanya tathmini. Miaka miwili mpaka mitatu inatosha kujua iwapo mkataba huo unamanufaa au la. Kuwe na chombo cha kuhakiki mikataba hiyo na ku-review mbali na shughuli nyingine.
  11. 2

    Tume ya Ngwilizi yawasafisha wabunge kuhusika na rushwa!

    Wabunge wanatakiwa kufanya uchunguzi kabla ya kubwabwaja. Hawajatumwa bungeni kusema uongo au kujiuza kwa uongo. Wote hao ni rushwa zinawasumbua
  12. 2

    Tume ya Ngwilizi yawasafisha wabunge kuhusika na rushwa!

    Wabunge wanatakiwa kufanya uchunguzi kabla ya kubabaja. Hawajatumwa bungeni kusema uongo au kujiuza kwa uongo. Wote hao ni rushwa zinawasumbua
  13. 2

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Afya ni muhimu zaidi ya pesa. Ukiwa na afya njema utatafuta pesa vizuri
Back
Top Bottom