Recent content by 27072019

  1. 27072019

    Mkewe amepata mimba wakati wana mtoto wa miezi 3

    Ninarudia tena Mkuu. Msitoe mimba hiyo
  2. 27072019

    Mkewe amepata mimba wakati wana mtoto wa miezi 3

    MWAMBIE asijaribu kutoa hiyo mimba, ASIJARIBU kutoa hiyo mimba. Ninarudia tena. Akitoa kuna uwezekano mkubwa akapata matatizo ambayo ni makubwa kuliko kama wangeilea mimba. Huenda huyo aliyepo tumboni ndiye atakuja kuwa mtu muhimu sana kwa hao wazazi. Kuhusu kubemenda: ni wangapi wanazaa...
  3. 27072019

    Walio na pesa nyingi waliwezaje mpaka zikawa nyingi?

    Ongeza njia za kujipatia kipato zaidi.
  4. 27072019

    Naomba ushauri na mwongozo, nichague kujenga nyumba ya makazi au frame za biashara?

    Ila aanze na alichonacho atakuwa anapata nguvu kadri anavyoendelea. Muambie aanze hata kesho, aanze na alichonacho
  5. 27072019

    Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

    Ninasikia Wamarangu wanaua sana waume zao. Ninasikia sikia tu mkuu. Ni tetesi
  6. 27072019

    Naomba ushauri na mwongozo, nichague kujenga nyumba ya makazi au frame za biashara?

    Fundi wa Dodoma kwa bei ya chini atajenga kwa laki tano kama ni frem pungufu ya tatu Materials yote msingi mpaka kuta atatumia si chini ya milioni nne. Itaongezeka akitumia tofali za blocks. Kumbuka kuna rinta, milango na madirisha aroooo Kupaua tu peke yake ni zaidi ya milioni 2 Hela haitoshi
  7. 27072019

    Naomba ushauri na mwongozo, nichague kujenga nyumba ya makazi au frame za biashara?

    Ningemshauri ajenge fremu za kupangisha ambapo kwa upande wa nyuma aweke makazi yake. Hapohapo anaishi na hapohapo ana fremu. Ila sasa hiyo hela haitamfikisha hata kupaua. Aongeze dau
  8. 27072019

    Je, kuna uimara katika gari iliyofufuliwa?

    Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya: Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha. Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi. Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila...
  9. 27072019

    Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

    Amemaanisha hiyo ultavet haikuwa mtego? Iliishaje hii ishu yako pale Lead?
  10. 27072019

    Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

    Hongera sana kaka
  11. 27072019

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Kwanza kabisa mfanye ajue kuwa umejua. Hiyo ni hatua ya kwanza kwao kuachana. Ukishamfanya ajue kuwa umejua njoo tuongeze kinachofuata
  12. 27072019

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Habari mkuu? Ninakushauri cha kwanza kabisa mjuze mumeo kuwa umejua anachepuka na umsihi aache mara hii. Usiende kugombana na huyo mchepuko wake. Furahia ndoa!!!
  13. 27072019

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mimi ninayo hii gari arooo ukweni kidogo nipewe wake wawili. Gari nzuri sana. Na pia ipo juu inapita kila njia
  14. 27072019

    Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

    Mkuu, nimesomea social media management. Unapopost posts zaidi ya 5 kwa siku basi page yako itapoteza wateja. Ni sawa na wanaopost statuses 50 WhatsApp tunaona tuwamute
Back
Top Bottom