BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,014
Habari wataalamu, kuna mazingira haya katika jamii yangu yamewakuta wanandoa fulani na kwa kuwa jamaa ni rafiki yangu kachanganyikiwa sana hajui aanzie wapi na kumiomba nimsaidie ushauri.
Bahati mbaya mimi siko kwenye kada hiyoo, japo nimempa ushauri kisaikolojia na amepata nafuu japo tatizo lake halijapatiwa utatuzi.
Anadai ana siku anaona dalili za mkewe zikionyesha ana mimba na kuwa walifanya siku moja jamaa akiwa na ugwadu mkali baada ya kuvumilia muda mrefu sana.
Ameongeza kuwa alimwaga nje cha kushangaza wamepima mkewe ana mimba na mimba alifanyiwa upasuaji.
Msaada unahitajika ni, mosi,, afahamu madhara kwa mtoto wao. Pili,, anawezaje kusambaratisha huo ujauzito ni njia gani nzuri zaidi.
Zaidi anaomba radhi kwa kuwa anaamini wengine watasema kwa nini hakutumia condom au kwa nini asingetoka na demu mwingine.
Ila tu hana tabia ya kutoka nje ya ndoa yake anaheshimu sana pia genye zilimzidia usiku wa manane hakuwa anatarajia hivo hakujiandaa na ndom then mkewe akampa yakatokea.
Msaada wenu wataalamu tumnusuru huyu ndugu.
Nawakilisha pia nawasilisha.