Maisha ni kupanga, pia kupanga ni kuchagua Kwahiyo kazi kwako
1.kuna Mke/mwanamke Msaidizi
2. Kuna Mke/Mwanamke Mlezi
Acha kutia huruma, as a man Fanya Decision.
Mtoa mada bado mziki ujaujua au unachanganya vitu, hao wasanii wote Wakali sana ila umeweka generation tofauti inatoa wakati mgumu kuwapanga kwa ukali.
Mfano genaration ya Nas, Jay Z na Emen
Then generation ya Wayne, 50 cent na Kanye
Pia generation ya Kendr, Jay Cole na Drake
Sasa hawa huwez...
Hapana, matumizi yalikuja baada ya kuhamishwa stand ndio maana wazo la kwanza ilitakiwa iwe stand kubwa ya Mwendokasi badae ikapatikana hiyo business park.
Sababu kubwa ilikua kupunguza msongamano katikati ya mji ambao now umejirudia shekilango tena bila mpangilio.
Hakuna maisha bila utaribu...
Unachoongea hakiendani na uhalisia, iasue sio kupanda na kushukia.
Urafiki na shekilango imegeuzwa stand kwa sasa. Umefika hayo maeneo hivi karibuni?
Stand kubwa ya mbezi haikujenga kwa lengo la kupanda na kushuka tu, ndio maana pale kuna investment za kutosha na vile vile kupelekwa stand nje...
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.
Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.
Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, kuna muda unafika kwa mwanaume unaona kabisa unaitaji kua na Mke ili kuanzisha Familia.
Inafahamika kila mmoja ana vigezo vya mwanamke amtakayae na hua hazifanani kwa kila mmoja.
Ila kuna hili Janga la kuoa wapenzi wa watu, unakuta mwanake anavigezo...
Maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua
Hongera kwa hatua uliyofikia, nguvu inaitajika zaidi kuweza kumaliza.
Kwa design ya nyumba ya kisasa hivyo, unaitaji 150 to 200M zaidi kuweza kumaliza. Kila la Kheri kwenye safari yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.